Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na wanakwaya kutoka Kigango cha Iduo kilichopo kata ya Mlali, Wilaya ya Kongwa walipomtembelea ...
 |
| Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na wanakwaya kutoka Kigango cha Iduo kilichopo kata ya Mlali, Wilaya ya Kongwa walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma. |
 |
| Wanakwaya wa Kigango cha Iduo Adriano Joseph (kushoto) na Nicholus Richard (kulia) wakimkabidhi Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) kiroba chenye Karanga kwa niaba ya wanakwanya wengine walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma. |
 |
| Wanakwaya wa Kigango cha Iduo kilichopo kata ya Mlali, Wilaya ya Kongwa wakimuombea Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma. |
 |
| Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja na wanakwaya kutoka Kigango cha Iduo kilichopo kata ya Mlali, Wilaya ya Kongwa mara baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake Jijini Dodoma. |
 |
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiagana na wanakwaya kutoka Kigango cha Iduo kilichopo kata ya Mlali, Wilaya ya Kongwa mara baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake Jijini Dodoma. (PICHA NA BUNGE)
|
COMMENTS