Kaimu Katibu Mkuu Idara Kuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Marcel Katemba akifungua kikao kati ya Serikali na wadau wa mae...
Kaimu Katibu Mkuu Idara Kuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Marcel Katemba akifungua kikao kati ya Serikali na wadau wa maendeleo ya Mtoto kujadili kwa pamoja namna ya kupambana na Ukatili wa mtoto mtandaoni katika Ukumbi wa Wizara jijini Dodoma leo Mei 09,2018.
Mwakilishi wa Shirika la C-Sema Bi.Thelma Dhanje akitoa taarifa kuhusu madhara ya ukatili wa mtoto mtandaoni kwa Menejimenti ya Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwenye kikao kati ya Serikali na wadau wa maendeleo ya Mtoto wakati wa kujadili namna ya kupambana na Ukatili wa mtoto mtandaoni katika Ukumbi wa Wizara jijini Dodoma leo Mei 09,2018.
Mhadhili kutoka Chuo Kikuu cha Ualimu Dar es salaam (DUCE) Dkt. Hezron Onditi akiwasilisha taarifa ya utafiti kuhusu madhara ya ukatili wa mtoto mtandaoni kwa Menejimenti ya Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika kikao kati ya Serikali na wadau wa maendeleo ya Mtoto waliokutana kujadili namna ya kupambana na Ukatili wa mtoto mtandaoni katika Ukumbi wa Wizara jijini Dodoma leo Mei 09,2018.
Baadhi ya wadau na wajumbe wa Menejimenti kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto(Idara Kuu Maendeleo ya Jamii) wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa katika kikao kati ya Serikali na wadau wa maendeleo ya Mtoto katika kujadili namna ya kupambana na Ukatili wa Mtoto mtandaoni katika Ukumbi wa Wizara jijini Dodoma leo Mei 09,2018.
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Mtoto Bibi Magreth Mussai(kulia) akieleza masuala mbalimbali ya Sera ya Mtoto na utekelazaji wake katika kikao kati ya Serikali na wadau wa maendeleo ya Mtoto katika kujadila namna ya kuzuia unyanyasaji wa kingono kwa Mtoto katika mitandao kwenye kikao kilichofanyika Ukumbi wa Wizara jijini Dodoma leo Mei 09,2018.
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Bw. Patrick Golwike(kulia)akieleza namna ukatili wa mtoto mtandaoni unavyoweza kuathiri maendeleo ya mtoto na jamii kwa ujumla katika kikao kati ya Serikali na wadau wa maendeleo ya Mtoto katika kujadilia namna ya kupambana na Ukatili wa Mtoto mtandaoni katika Ukumbi wa Wizara jijini Dodoma leo Mei 09,2018.
Mwanasheria kutoka Idara Kuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bi. Vickness Mayao akieleza uzingatiaji wa masuala ya kisheria na mikataba ya Kimataifa na Kikanda katika kutekeleza juhudi za Kitaifa za kumlinda mtoto dhidi ya ukatili wa mtandaoni katika kikao kati ya Serikali na wadau wa maendeleo ya Mtoto kilichofanyika Ukumbi wa Wizara jijini Dodoma leo Mei 09,2018.
Mtaalamu kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) Bw. Nehemia Mweni akieleza namna Mamlaka hiyo inavyoshiriki kupambana na Ukatili wa mtoto mtandaoni katika kikao kati ya Serikali na wadau wa maendeleo ya Mtoto katika kujadili namna ya kupambana na Ukatili wa mtoto mtandaoni katika Ukumbi wa Wizara jijini Dodoma leo Mei 09,2018.
COMMENTS