Mkurugenzi wa Idara ya Tiba Shirikishi ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)...
Mkurugenzi wa Idara ya Tiba Shirikishi ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Delila Kimambo akimkabidhi zawadi ya kinyago Afisa Muuguzi wa Chuo Kikuu cha New York cha nchini Marekani Linda Herrmann wakati wa hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika leo katika Taasisi hiyo. Maafisa uuguzi wawili kutoka chuo hicho walifika katika Taasisi hiyo kwaajili ya kuangalia namna ya kushirikiana katika kuboresha utoaji wa huduma kwa wagonjwa.
COMMENTS