RAIS DKT. MAGUFULI AWAPONGEZA WABUNGE STEPHEN MASELE (MAKAMU WA RAIS BUNGE LA AFRIKA) PAMOJA NA MBONI MHITA (RAIS WA CAUCUS YA VIJANA YA BUNGE LA AFRIKA IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wabunge, wa kwanza kushoto Stephen Masele a...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wabunge, wa kwanza kushoto Stephen Masele ambaye amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika aliyeambatana na Mbunge mwingine Mboni Mhita (kulia) ambaye pia  amechaguliwa kuwa Rais wa Caucus ya vijana ya Bunge la Afrika katika uchaguzi uliofanyika Afrika ya Kusini wiki iliyopita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mbunge wa Shinyanga mjini Stephen Masele ambaye amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika mara baada ya kumaliza mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari mara baada ya kuwapongeza wabunge hao wa Tanzania waliochaguliwa kushika nafasi za juu katika Bunge la Afrika.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mbunge Mboni Mhita kwa  kuchaguliwa kuwa Rais wa Caucus ya vijana ya Bunge la Afrika katika uchaguzi uliofanyika Afrika ya Kusini wiki iliyopita. 

Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika Stephen Masele akizungumza na Wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam. Kulia ni Rais wa Caucus ya vijana ya Bunge la Afrika Mboni Mhita. (PICHA NA IKULU)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DKT. MAGUFULI AWAPONGEZA WABUNGE STEPHEN MASELE (MAKAMU WA RAIS BUNGE LA AFRIKA) PAMOJA NA MBONI MHITA (RAIS WA CAUCUS YA VIJANA YA BUNGE LA AFRIKA IKULU DAR ES SALAAM
RAIS DKT. MAGUFULI AWAPONGEZA WABUNGE STEPHEN MASELE (MAKAMU WA RAIS BUNGE LA AFRIKA) PAMOJA NA MBONI MHITA (RAIS WA CAUCUS YA VIJANA YA BUNGE LA AFRIKA IKULU DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiUN3Xpxim6G94evNXXTHPXE-6MgSYAm9NMLk2NNtA9LS5AVtSeYK61Pu0LPf-KiAYYt1HGzAWBqrzYH6SkunEld5rJHr1oPz3jCin5LbBBJ7mfI-Bo8wWeqng6SVJxLWwL0CCTaKXYJh8/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiUN3Xpxim6G94evNXXTHPXE-6MgSYAm9NMLk2NNtA9LS5AVtSeYK61Pu0LPf-KiAYYt1HGzAWBqrzYH6SkunEld5rJHr1oPz3jCin5LbBBJ7mfI-Bo8wWeqng6SVJxLWwL0CCTaKXYJh8/s72-c/1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/05/rais-dkt-magufuli-awapongeza-wabunge.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/05/rais-dkt-magufuli-awapongeza-wabunge.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy