Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi walioshirik...
![]() |
Wageni mbalimbali wakiwemo viongozi wastaafu pia walishiriki katika futari hiyo.
|
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi mara baada ya kufuru Ikulu jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
Mufti wa Tanzania Sheikh Aboubakary Zubery akiwa na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya kufuturu Ikulu jijini Dar es Salaam.
|
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa mara baada ya kufuturu Ikulu jijini Dar es Salam. (Picha na Ikulu) |
COMMENTS