MUHAS MLOGANZILA WAZINDUA HUDUMA ZA KUSAFISHA DAMU KWA WAGONJWA WA FIGO JIJINI DAR
HomeJamii

MUHAS MLOGANZILA WAZINDUA HUDUMA ZA KUSAFISHA DAMU KWA WAGONJWA WA FIGO JIJINI DAR

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya ambaye alikuwa mgeni rasmi (wa tatu ...

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KATIBA NA SHERIA YARIDHIA VIPAUMBELE 23 VYA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA TAASISI ZAKE KWA MWAKA 2018/2019
WANAHABARI WATAKIWA KUFANYA UTAFITI WA HABARI ZAO
WAUGUZI,WAKUNGA WATAKIWA KUZINGATIA MAADILI SEHEMU ZAO ZA KAZI




Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya ambaye alikuwa mgeni rasmi (wa tatu toka kushoto) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo (wa pili toka kushoto) wakikata utepe wa kuzindua huduma za kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila leo Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG)
Wagongwa wakipata huduma ya  kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) leo ilipofanyika uzinduzi katika Kampasi ya Mloganzila leo Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.

Mmoja ya madaktari alionyesha mashine ya kusafisha damu.
Mkuu wa kitengo cha Dkt. Paschal Ruggajo (mwenye nguo nyeupe) akitoa ufafanuzi juu ya huduma wanayoitoa katika kitengo hicho.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya akizungumza katika uzinduzi wa huduma za kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila leo Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo akizungumza katika uzinduzi wa huduma za kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila leo Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Huduma za Hospitali Prof. Said Aboud akizungumza katika uzinduzi wa huduma za kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila leo Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya (kulia) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo (katikati) wakifurahia jambo wakati Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Huduma za Hospitali Prof. Said Aboud alipokuwa amesimama kwenda kutoa neno la shukrani wakati wa uzinduzi wa huduma za kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila leo Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi na wanafunzi waliohudhuria katika uzinduzi wa huduma za kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila leo Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi na wanafunzi waliohudhuria katika uzinduzi wa huduma za kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila leo Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja.
Mkuu wa kitengo cha huduma ya  kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo katika hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Dkt. Paschal Ruggajo (mwenye nguo nyeupe) akifanya mahojiano na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza uzinduzi iliyofanyika katika Kampasi ya Mloganzila leo Mei 8, 2018 jijini Dar es Salaam.












Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MUHAS MLOGANZILA WAZINDUA HUDUMA ZA KUSAFISHA DAMU KWA WAGONJWA WA FIGO JIJINI DAR
MUHAS MLOGANZILA WAZINDUA HUDUMA ZA KUSAFISHA DAMU KWA WAGONJWA WA FIGO JIJINI DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhzfqitLiYvNmWbcZTaxkfXXuHTyHwMSefnx-yUya3wNulIL6NVkSv5NOI1b6Z3swbYGH3fe37N31agSqLrbHwanzHpUNsWPF1zoKhPeMVzVxom8Vv8M615_cQBE9cIZqWvS3cvXMplnYg/s640/IMG_6532.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhzfqitLiYvNmWbcZTaxkfXXuHTyHwMSefnx-yUya3wNulIL6NVkSv5NOI1b6Z3swbYGH3fe37N31agSqLrbHwanzHpUNsWPF1zoKhPeMVzVxom8Vv8M615_cQBE9cIZqWvS3cvXMplnYg/s72-c/IMG_6532.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/05/muhas-mloganzila-wazindua-huduma-za.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/05/muhas-mloganzila-wazindua-huduma-za.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy