MATUKIO MBALIMBALI YALIYOJIRI BUNGENI JIJINI DODOMA LEO
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha thelathini na tatu cha mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.
HomeJamii

MATUKIO MBALIMBALI YALIYOJIRI BUNGENI JIJINI DODOMA LEO

Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha thelathini na tatu cha mkutano wa kumi na...

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA SIKU 5 WA MAJAJI NA MAHAKIMU WA NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA
RAIS DKT.MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM MARA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA
ASKARI JWTZ WASAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU PRIVATE MUSSA KUELEKEA DODOMA



Viongozi waandamizi wa Wizara ya maliasili na Utalii wakiongozwa na Katibu mkuu Meja Jenerali  Gaudence Milanzi na Naibu Katibu Mkuu Dkt. Aloyce Nzuki wakifatilia shughuli mbalimbali za Bunge leo Jijini Dodoma.

Naibu Waziri-TAMISEMI Mhe.Josephat Kandege akijibu hoja mbalimbali za wabunge  wakati kikao cha thelathini na tatu cha mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.


Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt Hamisi Kigwangalla  akiteta jambo na Naibu wake Mhe.Japhet Hasunga wakati kikao cha thelathini na tatu cha mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Dkt Hamisi Kigwangalla akiwasilisha hotuba ya Makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dkt Suzan Kolimba  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati kikao cha thelathini na tatu cha mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.


(Picha na Daudi Manongi, MAELEZO,DODOMA)

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MATUKIO MBALIMBALI YALIYOJIRI BUNGENI JIJINI DODOMA LEO
MATUKIO MBALIMBALI YALIYOJIRI BUNGENI JIJINI DODOMA LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEizoiVpW7EAte_v-KMOUq4O1eML5v_vEelBBGirB3YJthO0nGbVaWHNgEHRjTLWRL_Wh5_b2ulRQmBmB5cqcSDfSwTgGu2QkFyjaiFNvt6OWTkPkA11qEIIpc8A4B8CVWvbPVcb20E5RFc/s640/Pix+1+Andrew+Chenge.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEizoiVpW7EAte_v-KMOUq4O1eML5v_vEelBBGirB3YJthO0nGbVaWHNgEHRjTLWRL_Wh5_b2ulRQmBmB5cqcSDfSwTgGu2QkFyjaiFNvt6OWTkPkA11qEIIpc8A4B8CVWvbPVcb20E5RFc/s72-c/Pix+1+Andrew+Chenge.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/05/matukio-mbalimbali-yaliyojiri-bungeni.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/05/matukio-mbalimbali-yaliyojiri-bungeni.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy