MAKAMANDA WA POLISI WAJINOA KUUKABILI UKATILI WA KIJINSIA
Baadhi ya Makamanda wa Polisi wakisikiliza kwa makini hotuba ya IGP Simon Sirro (hayupo pichani) wakati wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo kuhusu makosa ya ukatili wa kijinsia. Mafunzo hayo ya siku mbili yameratibiwa na Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi na Shirika la Utu wa mtoto. (Picha na Jeshi la Polisi).
HomeJamii

MAKAMANDA WA POLISI WAJINOA KUUKABILI UKATILI WA KIJINSIA

Baadhi ya Makamanda wa Polisi wakisikiliza kwa makini hotuba ya IGP Simon Sirro (hayupo pichani) wakati wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo k...

BONDIA IDDI MKWELA AFUNGA NDOA NA ZAWADI MCHARO
NAIBU WAZIRI DKT. MWANJELWA ASEMA MPANGO WA SERIKALI KUPELEKA MBEGU MPYA ZA KAHAWA WILAYANI MBINGA NI KUINUA UZALISHAJI
WAZIRI MKUU KATIKA MATUKIO YA PICHA DODOMA


Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro akizungumza wakati wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Mkamanda wa Polisi wa Mikoa ya Tanzania kuhusu makosa ya ukatili wa kijinsia. Mafunzo hayo ya siku mbili yameratibiwa na Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi na Shirika la Utu wa mtoto.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akifurahia jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Utu wa Mtoto Bw. Mtengeti Koshuma (kushoto) na Mwakilishi wa UNFPA nchini Bi Christine Mwanukizi (kulia) baada ya kufungua Mafunzo ya kuwajengea uwezo Mkamanda wa Polisi wa Mikoa ya Tanzania kuhusu makosa ya ukatili wa kijinsia. Mafunzo hayo ya siku mbili yameratibiwa na Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi na Shirika la Utu wa mtoto.

Kamishna wa Polisi (Ushirikishwaji wa Jamii) Mussa Ali Mussa akizungumza wakati wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Mkamanda wa Polisi wa Mikoa ya Tanzania kuhusu makosa ya ukatili wa kijinsia. Mafunzo hayo ya siku mbili yameratibiwa na Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi na Shirika la Utu wa mtoto.


Washiriki wa Mafunzo ya kuwajengea uwezo Mkamanda wa Polisi wa Mikoa ya Tanzania kuhusu makosa ya ukatili wa kijinsia wakiwa katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa Mafunzo hayo ya siku mbili ambayo yameratibiwa na Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi na Shirika la Utu wa mtoto.





Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMANDA WA POLISI WAJINOA KUUKABILI UKATILI WA KIJINSIA
MAKAMANDA WA POLISI WAJINOA KUUKABILI UKATILI WA KIJINSIA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjxF7cPIDzPMLgfHMjKZuTvb4bFZcrlgzr_SZGu4533Bs2agBY9wVc2Q5Ifpj-WiPCzzXIdW5T8wMkGaqcrEY0KMs8jw9b_eYNIORvnASV7jKRV1YOpmLcy5-mlkaf-XIBYBe1d9jie45A/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjxF7cPIDzPMLgfHMjKZuTvb4bFZcrlgzr_SZGu4533Bs2agBY9wVc2Q5Ifpj-WiPCzzXIdW5T8wMkGaqcrEY0KMs8jw9b_eYNIORvnASV7jKRV1YOpmLcy5-mlkaf-XIBYBe1d9jie45A/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/05/makamanda-wa-polisi-wajinoa-kuukabili.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/05/makamanda-wa-polisi-wajinoa-kuukabili.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy