Kiongozi wa Kamati ya Majadiliano kwa upande wa Serikali, Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akitia saini pamoja n...
Kiongozi wa Kamati ya Majadiliano kwa upande wa Serikali, Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akitia saini pamoja na Mkurugenzi wa Tanzanite One Faisal Juma mara baada ya kufikia makubaliano na Kampuni hiyo ya Uchimbaji wa Madini ambayo imekubali kulipa fidia kwa Serikali pamoja na mambo mengine ya Kimkataba.
Kiongozi wa Kamati ya Majadiliano kwa upande wa Serikali Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akibadilishana hati za Makubaliano na Mkurugenzi wa Tanzanite One Faisal Juma mara baada ya Kampuni hiyo ya Uchimbaji wa Madini kukubali kulipa fidia kwa Serikali.
Kiongozi wa Kamati ya Majadiliano kwa upande wa Serikali Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akiwa na watendaji wa Kampuni ya Uchimbaji madini ya Tanzanite One wakati akielekea kusaini hati za makubaliano baina ya kampuni hiyo na Serikali.
Kiongozi wa Kamati ya Majadiliano kwa upande wa Serikali Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akizungumza mara baada ya kuhitimisha mazungumzo na kusaini hati ya Makubaliano yatakayoiwezesha Serikali kulipwa fidia na Kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzaniate.
Kiongozi wa Kamati ya Majadiliano kwa upande Kampuni ya Tanzanite One Faisal Juma akizungumza mara baada ya kuhitimisha mazungumzo na kusaini hati ya Makubaliano yatakayoiwezesha Serikali kulipwa fidia na Kampuni ya uchimbaji madini ya Tanzaniate.
Kiongozi wa Kamati ya Majadiliano kwa upande wa Serikali Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akiagana na Mkurugenzi wa Tanzanite One Faisal Juma mara baada ya Kampuni hiyo ya Uchimbaji wa Madini kukubali kulipa fidia kwa Serikali pamoja na mambo mengine ya Kimkataba kama walivyokubaliana. (PICHA NA IKULU)
COMMENTS