NA K-VIS BLOG NA MASHIRIKA YA HABARI KIONGOZI wa Korea Kaskazini, Kim Jong In, (pichani juu kushoto), na Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in ...
NA K-VIS BLOG NA MASHIRIKA YA HABARI
KIONGOZI wa Korea Kaskazini, Kim Jong In, (pichani juu kushoto), na Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in wamekutana kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 10 iliyojaa uhasama.
Viongozi hao wakiwa wamejawa tabasamu, walishikana mikono Ijumaa Aprili 26, 2018 kwenye ukanda huru usioruhusiwa vita (DMZ), na kuondoa kiwingu baina ya nchi hizo mbili kilichojaa vitisho vya kinyuklia lakini pia mkuta no huo unaandaa mazingira ya mkutan o mwingine wa kihistoria baina ya Kiongozi huyo kijana wa Korea Kaskazini na Rais wa Marekani Donald Trump baadaye mwaka huu.

COMMENTS