ZIARA YA MAKAMU WA RAIS MKOA WA KASKAZINI PEMBA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu amesikitishwa sana na uharibifu wa mazingira unaoendelea katika machimb...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu amesikitishwa sana na uharibifu wa mazingira unaoendelea katika machimbo ya mchanga Donge.
Makamu wa Rais ambaye yupo kwenye ziara Visiwani Unguja na leo alikuwa na ziara katika mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu wa Rais amesema hatua za haraka zichukuliwe ili kuokoa mazingira yasiendelee kuharibiwa.
Makamu wa Rais pia amewataka Viongozi wote wa CCM kuhakikisha kuwa Chama kinajitegemea kwenye maeneo yao, Makamu wa Rais aliyasema hayo mara baada ya kukagua shughuli za kiuchumi za CCM katika ufukwe wa Nungwi ikiwa sehemu ya ziara yake aliyoifanya kwenye mkoa wa Kaskazini Unguja.

Makamu wa Rais pia alifungua ofisi mbili za CCM moja ikiwa ya jimbo la Donge na nyingine ikiwa Ofisi ya CCM mkoa wa Kaskazini ambapo inahistoria ya kipekee kutokana na kuwekwa jiwe la msingi mwaka 1986 na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mjasiriamali wa kazi za sanaa za mikono katika ufukwe wa Nungwi Ndugu Rabinson Mungule wakati wa ziara ya Makamu wa Rais ya kukagua miradi ya CCM ikiwa sehemu ya kuhamasisha Chama Cha Mapinduzi kujitegemea kwa kutumia rasilimali zake katika mkoa wa Kaskazini Unguja. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia urembo wa wanawake unaouzwa katika fukwe za Nungwi Ndugu Rabinson Mungule wakati wa ziara ya Makamu wa Rais ya kukagua miradi ya CCM ikiwa sehemu ya kuhamasisha Chama Cha Mapinduzi kujitegemea kwa kutumia rasilimali zake katika mkoa wa Kaskazini Unguja.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Zamani Mambo ya Ndani ya Nchi, Ali Ameir Mohammed, alipomtembelea nyumbani kwake, Kichaviani, jimbo la Donge, Makamu wa Rais alikuwa kwenye ziara katika mkoa wa Kaskazini Unguja.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa CCM mkoa wa Kaskazini Unguja ikiwa sehemu ya ziara yake ya kuhamasisha shughuli za maendeleo ya Chama Cha Mapinduzi. 

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: ZIARA YA MAKAMU WA RAIS MKOA WA KASKAZINI PEMBA
ZIARA YA MAKAMU WA RAIS MKOA WA KASKAZINI PEMBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiUTM5XA_FFYxkEdToTKyVk_G4VPCcYqDb0JKIQcu1EUSwby_VBJMc1vwM_Jq1XKFS-cDqQGmm5gMglK5JNd6urJkaTzb35YE00-GELA8p0gMcd7US8ZmF9ne5sHCYr5tbecQfRW8iOCyE/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiUTM5XA_FFYxkEdToTKyVk_G4VPCcYqDb0JKIQcu1EUSwby_VBJMc1vwM_Jq1XKFS-cDqQGmm5gMglK5JNd6urJkaTzb35YE00-GELA8p0gMcd7US8ZmF9ne5sHCYr5tbecQfRW8iOCyE/s72-c/1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/04/ziara-ya-makamu-wa-rais-mkoa-wa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/04/ziara-ya-makamu-wa-rais-mkoa-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy