WANAWAKE NI NGUZO YA MAENDELEO KATIKA KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA - DC MCHEMBE
HomeJamii

WANAWAKE NI NGUZO YA MAENDELEO KATIKA KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA - DC MCHEMBE

Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Siriel Mchembe akipongezwa na mchungaji Canon Chamwenye wa kanisa Anglikana Msingisi mara baada ya kumaliza kuon...

MWENYEKITI WA KIJIJI NA WAJUMBE WA SERIKALI YA KIJIJI WASIMAMISHWA KUPISHA UCHUNGUZI
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZINDUA STUDIO MPYA ZA ZBC ZANZIBAR
WAZIRI DK.KIGWANGALLA ATEUA KAMATI BONDE LA MTO KILOMBERO

Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Siriel Mchembe akipongezwa na mchungaji Canon Chamwenye wa kanisa Anglikana Msingisi mara baada ya kumaliza kuongea na akina mama juu ya kuanzisha kiwanda ili waweze kujikwamua katika maisha yao.
Mmoja ya akinamama akitoa shukrani ya kuku kwa mkuu wa wilaya ya Gairo, Siriel Mchembe.

Mkuu wa Wilaya ya Gairo Mhe. Siriel Shaidi Mchembe afanikisha ushawishi wa ujenzi wa viwanda kwa kuanzia na wanawake kanisa la Anglikana Dinari ya Rubeho Gairo.

Ushawishi huo ulianza mwezi wa sita mwaka 2017 ambapo Mhe. Mchembe alihudhuria mkutano wa wanawake wa kanisa hilo akiwa Mgeni Rasmi.

Katika mkutano huo Mhe. Mchembe aliwashawishi akinamama hao kupitia umoja wao waanzishe kiwanda ili kiwainue kiuchumi. Aidha wapate mahali pa kuuza mbegu za alizeti ambazo kwa sasa alizeti ni kati ya mazao makuu ya biashara wilayani Gairo.

Hatimaye mpango umekamilika na Mhe. Mchembe amechangia pesa za Kitanzania shilingi laki tano kuhamasisha ujenzi wa kiwanda. Jumla ya gharama ya mradi ni shilingi milioni kumi na tisa. Majengo yanaendelea kufunguliwa na mradi unategemewa kuanza mwishoni mwa mwaka 2018.

Mkuu wa Wilaya aliwashukuru wana Dinari hiyo iliyojumuisha Kata ya Rubeho na Msingisi. Wanawake ni nguzo ya Maendeleo katika uchumi wa viwanda.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WANAWAKE NI NGUZO YA MAENDELEO KATIKA KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA - DC MCHEMBE
WANAWAKE NI NGUZO YA MAENDELEO KATIKA KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA - DC MCHEMBE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi9_k0eCfQpfuKTykFV6WY8AIZKaaIZBGBgp6DQl2fod7fAVF47op4PHmoUp6rPbX3xKQHMo4g2D3P8zAHbXdnm9pHji1jZtO1lFF-ffPJMx3PjimSeH2JolOazBKJDhgkm1jlbPvBWZBA/s640/mama1.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi9_k0eCfQpfuKTykFV6WY8AIZKaaIZBGBgp6DQl2fod7fAVF47op4PHmoUp6rPbX3xKQHMo4g2D3P8zAHbXdnm9pHji1jZtO1lFF-ffPJMx3PjimSeH2JolOazBKJDhgkm1jlbPvBWZBA/s72-c/mama1.jpeg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/04/wanawake-ni-nguzo-ya-maendeleo-katika.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/04/wanawake-ni-nguzo-ya-maendeleo-katika.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy