VIDEO; RAIS DKT MAGUFULI AHUDHURIA IBADA YA KUMSIMIKA MUADHAMA ISAACK AMANI KUWA ASKOFU MKUU JIMBO KUU KATOLIKI ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na Askofu Mku...






Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaack Amani (katikati yao) na maaskofu wengine wa kanisa hilo baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo  katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018.


Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaack Amani (katikati yao) na maaskofu wengine wa kanisa hilo pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda, Spika Mstaafu Mhe. Anne Makinda, Mama Tunu Pinda na Mkuu wa Mkoa wa ARusha Mhe. Mrisho Gambo  baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018 


 Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaack Amani (katikati yao) na maaskofu wengine wa kanisa hilo pamoja na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama   baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018  



Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaack Amani (katikati yao) na maaskofu wengine wa kanisa hilo pamoja na viongozi wa Mkoa wa Arusha baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018 


Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakaga baada ya kupata picha ya pamoja na Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Muadhama Isaack Amani na maaskofu wengine wa kanisa hilo baada ya sherehe za kumsimika Askofu Mkuu huyo katika Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto wa Yesu jijini Arusha leo Aprili 8, 2018. (Picha na IKULU)



COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: VIDEO; RAIS DKT MAGUFULI AHUDHURIA IBADA YA KUMSIMIKA MUADHAMA ISAACK AMANI KUWA ASKOFU MKUU JIMBO KUU KATOLIKI ARUSHA
VIDEO; RAIS DKT MAGUFULI AHUDHURIA IBADA YA KUMSIMIKA MUADHAMA ISAACK AMANI KUWA ASKOFU MKUU JIMBO KUU KATOLIKI ARUSHA
https://i.ytimg.com/vi/fec2SO1wbbI/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/fec2SO1wbbI/default.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/04/video-rais-dkt-magufuli-ahudhuria-ibada.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/04/video-rais-dkt-magufuli-ahudhuria-ibada.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy