TANZIA; RAMADHANI MUSA KIJJAH HATUNAYE TENA
Ramadhani Kijjah enzi za uhai wake
HomeJamii

TANZIA; RAMADHANI MUSA KIJJAH HATUNAYE TENA

Aliye wahi kuwa Katibu Mkuu na Mlipaji Mkuu wa Serikali wa Wizara ya Fedha na Mipango, katika Serikali ya Awamu ya Nne, Bw. Rama...

MAHAFALI YA KWANZA YA CHUO CHA MANJANO BEAUTY ACADEMY YAFANYIKA JIJINI DAR
TAARIFA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS
RC MAKONDA ADHIHIRISHA DHANA YA 'HAPA KAZI TU', MELI KUBWA YENYE HOSPITAL NDANI YAWASILI NA MADAKTARI BINGWA WACHINA


Aliye wahi kuwa Katibu Mkuu na Mlipaji Mkuu wa Serikali wa Wizara ya Fedha na Mipango, katika Serikali ya Awamu ya Nne, Bw. Ramadhani Musa Kijjah (65), amefariki dunia alfajiri ya kuamkia leo katika eneo la Jet Lumo, wilayani Temeke, mkoani Dar es Salaam.

Maziko yatafanyika kesho April 18, katika Makaburi ya Kisutu Jijini Dar es Salaam, saa 10 jioni.

Msiba uko nyumbani kwa marehemu Ramadhan Khijjah katika eneo la Jet Lumo, Yombo Malawi Hospital-Temeke.

Marehemu Ramadhani Khijjah aliteuliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Katibu Mkuu na Mlipaji Mkuu wa Serikali wakati huo Wizara ikijulikana kama Wizara ya Fedha na Uchumi, Novemba 23, mwaka 2008.

Alistaafu utumishi wa umma mnamo na June 12, 2013 akiwa na umri wa miaka 60.

Wakati wa uhai wake, Marehemu Khijjah, atakumbukwa kwa uchapakazi wake hodari, uadilifu, uzalendo na alichukia vitendo vya rushwa,.

Imetolewa na

Benny Mwaipaja
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Wizara ya Fedha na Mipango
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TANZIA; RAMADHANI MUSA KIJJAH HATUNAYE TENA
TANZIA; RAMADHANI MUSA KIJJAH HATUNAYE TENA
https://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcRdjzGZBmEo7Hg7y-_mvoD1IeNhlb-P5gHDqBk3s4uZxrQjeg4y4Q
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/04/tanzia-ramadhani-musa-kijjah-hatunaye.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/04/tanzia-ramadhani-musa-kijjah-hatunaye.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy