. Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Morocco nchini Tanzania Mhe. Abdelilah Benryane (kuli...
.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Morocco nchini Tanzania Mhe. Abdelilah Benryane (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
|
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akipongezana na Balozi wa Morocco nchini Tanzania Mhe. Abdelilah Benryane (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
|
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na mgeni wake Mkurugenzi Mtendaji, Multichoice Tanzania, Maharage Chande (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga
|
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza na mgeni wake Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Ndg. Joseph Kusaga (katikati) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji, Multichoice Tanzania, Maharage Chande
|
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na wageni wake Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji, Multichoice Tanzania Ndg. Maharage Chande (kulia) walipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
|
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na mgeni wake Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kutoka Bunge la Malawi Mhe. Kamlepo Kalua (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Kulia ni Naibu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu, Thomas Makiwa
|
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kutoka Bunge la Malawi pale ugeni huo ulipomtembelea leo ofisini kwake Mjini Dodoma, ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Kamlepo kalua (wa tatu kulia). (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
|
COMMENTS