Sehemu ya barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa inavyoonekana leo Aprili 27, 2018.Barabara hiyo ...
Sehemu ya barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa inavyoonekana leo Aprili 27, 2018.Barabara hiyo ambayo imejengwa kwa fedha za serikali, imezinduliwa rasmi na Rais John Magufuli leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt Akinwumi Adesina baada ya kuhutubia kwenye sherehe za kufungua barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa leo Aprili 27, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine akikatas utepe kufungua barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa leo Aprili 27, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia wananchi wa Dodoma na Manyara alipowasili kufungua barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa leo Aprili 27, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mshariki Dkt. Augustine Mahiga baada ya kuhutubia kwenye sherehe za kufungua barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa leo Aprili 27, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea zawadi za jadi toka kwa wazee wa Kondoa wakati wa sherehe za ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa leo Aprili 27, 2018

Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt Akinwumi Adesina akipewa zawadi na wazee wa Kondoa baada ya ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa leo Aprili 27, 2018

Balozi wa Japani nchini Tanzania Mhe. Masaharu Yoshida akipewa zawadi na wazee wa Kondoa baada ya ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa leo Aprili 27, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishikana mikono na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Dkt Akinwumi Adesina na Balozi wa Japani nchini Tanzania Mhe. Masaharu Yoshida baada ya kufungua barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa leo Aprili 27, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata picha na wananchi wa vyama mbalimbali vya siasa waliohamia CCM baada ya sherehe za kufungua barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa leo Aprili 27, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia wananchi wa Dodoma na Manyara baada ya kufungua barabara ya Dodoma-Babati ya KM 251 katika kijiji cha Bicha njiapanda ya Kondoa leo Aprili 27, 2018.(PICHA NA IKULU)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina kushoto na Balozi wa Japan hapa nchini Masaharu Yoshida pamoja na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Pro. Makame Mbarawa kuashiria ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati km 251 katika sherehe zilizofanyika Bicha Kondoa mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mbunge wa Chemba Juma Nkamia mara baada ya kufungua barabara ya Dodoma-Babati km 251 katika sherehe zilizofanyika Bicha Kondoa mkoani Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina mara baada ya kufungua barabara ya Dodoma-Babati km 251 katika sherehe zilizofanyika Bicha Kondoa mkoani Dodoma


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina wakati wa sherehe za ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati km 251

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina wakati wa sherehe za ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati km 251

Kikundi cha kwaya cha JKT Makutupora kikitumbuiza katika sherehe za ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati km 251 zilizofanyika Kondoa mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wakati akiwasili Kondoa kwa ajili ya sherehe za ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika sherehe za ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati km 251, Kondoa mkoani Dodoma

COMMENTS