WATU watano wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha lori na hiace huko wilayani Hai mkoani Kilimanjaro Ijumaa ...
WATU watano wamefariki dunia katika
ajali iliyohusisha lori na hiace huko wilayani Hai mkoani Kilimanjaro Ijumaa Julai 17, 2015. Inasadikiwa kuwa ajali hiyo ilitokea baada ya lori kuligonga kwa nyuma basi dogo la
abiria aina ya Hiace Toyota na kisha likaparamia kingo ya barabara kuu ya Arusha-Moshi.





COMMENTS