Waziri wa Madini, Angela Kairuki akijadili jambo na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi , bungeni mjini ...
 |
| Waziri wa Madini, Angela Kairuki akijadili jambo na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, bungeni mjini Dodoma Aprili 18, 2018. |
|
 |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahi jambo na Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema, bungeni mjini Dodoma Aprili 18, 2018.
|
 |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Tarime vijijini, John Heche, Bungeni mjini Dodoma Aprili 18, 2018.
|
 |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kilolo Venance Mwamoto, nje ya jengo la utawala bungeni mjini Dodoma Aprili 18, 2018, katikati ni Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Jaku Hashimu Ayoub.
|
 |
| Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Hussein Kattanga, katika jengo la utawala bungeni mjini Dodoma Aprili 18, 2018. |
 |
| Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Wasiyoona Tanzania (TLB), Robert Bundala, nje ya jengo la utawala bungeni mjini Dodoma Aprili 18, 2018. Pamoja nao ni Mbunge wa Kilolo Venance Mwamotona (wa pili kushoto) ni Mtendaji Mkuu wa Chama cha Wasioona Tanzania (TLB), Jonas Lubago (wa tatu kulia). |
 |
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Kapteni mstaafu George Mkuchika
akisisitiza kuhusu sheria inayotumika kutoa likizo kwa watumishi katika sekta
ya umma na binafsi pale wanapojifungua.
|
 |
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akisisitiza kuhusu mikakati ya Serikali kuboresha makazi ya Askari Polisi hapa nchini wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni mjini Dodoma.
|
 |
Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Paramagamba Kabudi akisisitiza jambo kwa Waziri wa Madini Mhe. Anjella Kairuki wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni mjini Dodoma.
|
 |
Sehemu ya wageni waliofika Bungeni wakifuatilia kipindi cha maswali na majibu Bungeni mjini Dodoma mapema leo.
|
 |
| Waziri wa Madini Mhe. Anjella Kairuki (katikati) akifurahia jambo na baadhi ya wabunge katika viwanja vya Bunge leo mjini Dodoma wakati wakielekea katika ukumbi wa Bunge mapema leo. (Picha zote na Frank Mvungi- MAELEZO, Dodoma) |
COMMENTS