MASAUNI AWATAKA WANANCHI KUWEKA FEDHA BENKI, AZIOMBA TAASISI ZA KIFEDHA ZA KIISLAMU AFRIKA KUONGEZA KASI KUWEKEZA NCHINI
HomeJamii

MASAUNI AWATAKA WANANCHI KUWEKA FEDHA BENKI, AZIOMBA TAASISI ZA KIFEDHA ZA KIISLAMU AFRIKA KUONGEZA KASI KUWEKEZA NCHINI

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika Mkutano wa Tano wa Taasisi za Fedha za Kiislamu Afrika ul...

BANK OF AFRICA ORGANISES AN IFTAR DINNER FOR CUSTOMERS IN DAR ES SALAAM
SERIKALI YAHIMIZA HALMASHAURI KUBUNI MIRADI YA KIMKAKATI ILI KUJIONGEZEA MAPATO
MATUKIO MBALIMBALI YALIYOJIRI BUNGENI JIJINI DODOMA LEO





Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika Mkutano wa Tano wa Taasisi za Fedha za Kiislamu Afrika uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam. Masauni aliwataka Watanzania kuweka Fedha zao katika Benki za Kiislamu zilizopo nchini ambazo hazina riba ili ziwasaidie katika mafanikio mbalimbali. Pia Masauni aliipongeza Taasisi hiyo kwa kuwekeza nchini. Kulia ni Kamishna wa Bima katika Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli za Bima nchini (TIRA), Dk. Baghayo Saqware, na katikati ni Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Bernard Kibesse. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.




Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi za Fedha za Kiislamu Afrika, Muhammad Mughal alipokua anaishukuru Serikali ya Tanzania kwa ushirikiano wake kwa Taasisi yake. Hayo alizungumza katika Mkutano wa Tano wa Taasisi hiyo uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam. Masauni aliwataka Watanzania kuweka Fedha zao katika Benki za Kiislamu zilizopo nchini ambazo hazina riba ili ziwasaidie kupata mafanikio zaidi. Wapili kulia ni Kamishna wa Bima katika Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli za Bima nchini (TIRA), Dk. Baghayo Saqware, na watatu kulia ni Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Bernard Kibesse. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.





Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika Mkutano wa Tano wa Taasisi za Fedha za Kiislamu Afrika uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam. Masauni aliwataka Watanzania kuweka Fedha zao katika Benki za Kiislamu zilizopo nchini ambazo hazina riba ili ziwasaidie katika mafanikio mbalimbali. Pia Masauni aliipongeza Taasisi hiyo kwa kuwekeza nchini. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.




Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akimpa zawadi Kamishna wa Bima katika Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli za Bima nchini (TIRA), Dk. Baghayo Saqware. Kushoto ni Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Bernard Kibesse, kulia ni Balozi wa Nigeria, nchini, Dk. Sahab Isa Ga, na wapili kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi za Fedha za Kiislamu Afrika, Muhammad Mughal. Mkutano wa Tano wa Taasisi hiyo umefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam, ambapo Masauni alikua mgeni rasmi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.




Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wanne kutoka kulia mstari wa mbele), akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Taasisi za Fedha za Kiislamu Afrika pamoja na washiriki wa Mkutano wa Tano wa Taasisi hiyo uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency, jijini Dar es Salaam. Masauni ambaye alikua mgeni rasmi katika mkutano huo, aliwataka Watanzania kuweka Fedha zao katika Benki za Kiislamu zilizopo nchini ambazo hazina riba ili ziwasaidie kupata mafanikio zaidi. Pia Masauni aliipongeza Taasisi hiyo kwa kuwekeza nchini. (Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MASAUNI AWATAKA WANANCHI KUWEKA FEDHA BENKI, AZIOMBA TAASISI ZA KIFEDHA ZA KIISLAMU AFRIKA KUONGEZA KASI KUWEKEZA NCHINI
MASAUNI AWATAKA WANANCHI KUWEKA FEDHA BENKI, AZIOMBA TAASISI ZA KIFEDHA ZA KIISLAMU AFRIKA KUONGEZA KASI KUWEKEZA NCHINI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjDIbI4a-gX1duvfsVl6JjaygAWT6v4FTIX3ECj_2sQvuhe_Pauw6DYEmKS4vYP6_3xCnwPYHp7JEMeIGSsuE2j8HA2_I5B2ODLEY_EBADXVsStb5BIFi7qRdzT2RzkR_2vOQpWdSJ97G0/s640/PIX+1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjDIbI4a-gX1duvfsVl6JjaygAWT6v4FTIX3ECj_2sQvuhe_Pauw6DYEmKS4vYP6_3xCnwPYHp7JEMeIGSsuE2j8HA2_I5B2ODLEY_EBADXVsStb5BIFi7qRdzT2RzkR_2vOQpWdSJ97G0/s72-c/PIX+1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/04/masauni-awataka-wananchi-kuweka-fedha.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/04/masauni-awataka-wananchi-kuweka-fedha.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy