MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA WAZIRI WA MAENDELEO YA KIMATAIFA JIJINI LONDON
.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha wageni mbele ya Balozi wa Tanzania Nchi Uingereza Dkt. Asha-Rose Migiro jijini London. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) ​
HomeJamii

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA WAZIRI WA MAENDELEO YA KIMATAIFA JIJINI LONDON

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amkutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Maendeleo ya K...

TAARIFA KUHUSU UINGIZWAJI WA MIFUGO NCHINI TANZANIA
RAIS MSTAAFU MHE. DKT. JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAHAFALI YA 47 YA CHUO KIKUU DAR ES SALAAM
SIKU YA TAKWIMU AFRIKA KUADHIMISHWA LEO


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amkutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa nchini Uingereza  Mhe. Penny Mordaunt .
Makamu wa Rais ambaye amewasili nchini Uingereza leo kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola (CHOGM) akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.
Katika mkutano wake na Waziri huyo wa Uingereza Makamu wa Rais alielezea hatua kubwa iliyofikiwa na Serikali ya Awamu ya Tano katika Elimu mara baada ya kuamua Elimu iwe bure kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne.
Pia Makamu wa Rais alishukuru mradi wa DFID unatekelezwa mkani Simiyu na kuomba mradi huo uongezewe maeneo ili uweze kuwanufanisha watoto wengi wa kike.
Makamu wa Rais pia alizungumzia namna Majukwaa ya Kuwawezesha wanawake kiuchumi yanavyofanya kazi huku taratibu mbali mbali zinafanyika ili mabenki yaweze toa mikopo kwa riba nafuu.
Mwisho Makamu wa Rais alizungumzia jitihada mbali mbali zinazofanywa na Serikali katika kuboresha Mazingira ya kufanya Biashara nchini.
Naye Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa nchini Uingereza Mhe. Penny Mordaunt ameipongeza Serikali ya Awamu ya Tano kwa jitihada wanazofanya katika kuboresha huduma za kijamii, alisema nchi yake ipo tayari kusaidia katika masuala ya makusanyo ya kodi, kuboresha uwezo wa walimu kwa kuwapatia mafunzo mbali mbali.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa nchini Uingereza Mhe. Penny Mordaunt na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Agustine Mahige jijini London







Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA WAZIRI WA MAENDELEO YA KIMATAIFA JIJINI LONDON
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA WAZIRI WA MAENDELEO YA KIMATAIFA JIJINI LONDON
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiXwrg4hQPTLb7aat5NqIEW-Ywly_w1piDeFZNcaDRI0xa6Vhu3gM97lyYZWcLuBMNx7KDHEj47CcAW8ZHMiFm0hQuEvRBSpqSxJespTf7CIp50o17V8tawx3FMiMkElBRMYvXPWicuRoY/s640/5+%252810%2529.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiXwrg4hQPTLb7aat5NqIEW-Ywly_w1piDeFZNcaDRI0xa6Vhu3gM97lyYZWcLuBMNx7KDHEj47CcAW8ZHMiFm0hQuEvRBSpqSxJespTf7CIp50o17V8tawx3FMiMkElBRMYvXPWicuRoY/s72-c/5+%252810%2529.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/04/makamu-wa-rais-mhe-samia-akutana-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/04/makamu-wa-rais-mhe-samia-akutana-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy