RAIS MSTAAFU MHE. DKT. JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAHAFALI YA 47 YA CHUO KIKUU DAR ES SALAAM

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Serikali waliotu...





Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Serikali waliotunukiwa Shahada ya Uzamivu katika Mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo Jijini Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt. Lameck Mwigulu Nchemba na Mkurugenzi Mkuu wa Mamala ya Usimaizi wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii (SSRA) Dkt. Irene Isaka. (Picha na MAELEZO)



Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Shahada ya Uzamivu, (Phd) katika Uchumi, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt. Lameck Mwigulu Nchemba katika mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Rwekaza Mukandara.



Wahitimu wa Shahada ya Sayansi ya Uzamili Katika masuala ya Jiolojia wakifurahia mara baada ya kutunukiwa rasmi shahada hiiyo katika Mahafali ya 47 ya chuo hicho leo Jijini Dar es Salaam.



Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Rwekaza Mukandala akitoa neno la shukrani mara baada ya zoezi la kuwatunuku degree zao wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo jijini Dar es Salaam.



Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt. Lameck Mwigulu Nchemba mara baada walipokutana katika mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo Jijini Dar es Salaam. Mwigulu Nchemba nimiongoni mwa wahitimu waliotunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Uchumi katika mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yaliyofanyika leo Mlimani City.



Baadhi ya wahitimu wakiwa katika nyuso za furaha kufuatia kuhitimu masomo yao kama walivyokutwa na mpiga picha wetu katika mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS MSTAAFU MHE. DKT. JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAHAFALI YA 47 YA CHUO KIKUU DAR ES SALAAM
RAIS MSTAAFU MHE. DKT. JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAHAFALI YA 47 YA CHUO KIKUU DAR ES SALAAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEggVV4ZDciJmnTvjurTgJBWyxhFgdHM-6AxWY1CXGeIpoM49J4wUBQ2eUsIIryXA-Mu1aY5qi6nRVZ2Y5LJLA0PdUC-FyZcQdQ5y7QiFZ6Ls0udMxqporiZZaunn7WgxptthjMMYf-gnuWo/s640/UD6b.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEggVV4ZDciJmnTvjurTgJBWyxhFgdHM-6AxWY1CXGeIpoM49J4wUBQ2eUsIIryXA-Mu1aY5qi6nRVZ2Y5LJLA0PdUC-FyZcQdQ5y7QiFZ6Ls0udMxqporiZZaunn7WgxptthjMMYf-gnuWo/s72-c/UD6b.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/11/rais-mstaafu-mhe-dkt-jakaya-kikwete.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/11/rais-mstaafu-mhe-dkt-jakaya-kikwete.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy