KOMBE AMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KWA KUWAPATIA JAMBO LEO FAGIO ZA USAFI SIKUKUU YA UHURU

 Waandishi wa habari wa gazeti la Jambo Leo, wakifurahia kupata fagio walizokabidhiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Zahanati ya Mji Mwema...






 Waandishi wa habari wa gazeti la Jambo Leo, wakifurahia kupata fagio walizokabidhiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Zahanati ya Mji Mwema Kigamboni, Dar es Salaam, Omary Kombe (kulia), katika hafla iliyofanyika katika chumba cha habari cha gazeti hilo, Dar es Salaam. Kombe ametoa msaada huo kuunga mkono maelekezo ya Rais Dk. John Magufuli ya kufuta sherehe za Sikukuu ya Uhuru ili wananchi washiriki siku hiyo kufanya usafi wa mazingira kwa lengo la kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu nchini. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)










COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KOMBE AMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KWA KUWAPATIA JAMBO LEO FAGIO ZA USAFI SIKUKUU YA UHURU
KOMBE AMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI KWA KUWAPATIA JAMBO LEO FAGIO ZA USAFI SIKUKUU YA UHURU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiSOCCdGEkYX3EWTOUEcFaI54D5obICekE6jGRiSYHJ9jW7Lc16KEWrE1VKWXAT602cwq6N-CFbLZbKg0ogPnj-saMyg0AUTVgvNUVE2rtL4pCE3WwaryA4XT_T8TYwScSsYCm0ffX8iuA/s640/01.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiSOCCdGEkYX3EWTOUEcFaI54D5obICekE6jGRiSYHJ9jW7Lc16KEWrE1VKWXAT602cwq6N-CFbLZbKg0ogPnj-saMyg0AUTVgvNUVE2rtL4pCE3WwaryA4XT_T8TYwScSsYCm0ffX8iuA/s72-c/01.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2015/11/kombe-amuunga-mkono-rais-magufuli-kwa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2015/11/kombe-amuunga-mkono-rais-magufuli-kwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy