TASWIRA KUTOKA SOKO KUU LA SANYA JUU MKOANI KILIMANJARO Sanya Juu ni mji mdogo ndani ya wilaya Siha Mkoani Kilimanjaro ikiwa ni ...
TASWIRA KUTOKA SOKO KUU LA SANYA JUU MKOANI KILIMANJARO
Hii ni njia ya kuelekea soko hili ikiwa imejaa matope kutokana na kuwa katika kiwango cha changarawe |
Baadhi ya wachuuzi wakiwa sokoni hapo kununua mahitaji yao lakini mazingira ya soko hayaridhishi kutokana na uchafu uliokithiri hapo na kuhatatrisha afya za walaji wa bidhaa |
hali halisi inavyonekana sokoni hapo baada ya mvua kunyesha |
Msimu huu wa mvua unasababisha kero hii kwa baadhi ya wateja hata wafanyabiashara sokoni |
hali hii pia ni kero kwa watembea kwa miguuu sokoni hapo |
(Picha zote na mdau Wito Msafiri wa Mwanaharakati Mzalendo Blog) |
COMMENTS