TANZANIA PRISONS YAIGOMEA YANGA U20 NA KUTWAA KOMBE LA MECHI ZA HISANI 2017 UWANJA WA NYUMBANI

Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI Tanzania, Godfrey Simbeye, akimkabidhi Kombe, Nahodha wa timu ya  Tanzania ...





Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI Tanzania, Godfrey Simbeye, akimkabidhi Kombe, Nahodha wa timu ya 
Tanzania Prisons, Laurian Mpalile, baada ya timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Yanga U20 katika mchezo wa 





Hisani wa fainali wa kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI, uliochezwa mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Sokoine jijini 




Mbeya mwishoni mwa wiki. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania TACAIDS, Dk. Leonard 





Maboko (kulia kwake) ni Katibu wa TFF Mkoa wa Mbeya, (kushoto) ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa Tume ya Taifa ya kudhibiti 



Ukimwi Tanzania TACAIDS, Elizabeth Kaganda. Picha zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)





Mshambuliaji wa Yanga U20, Said Mussa (kushoto) akichuana kuwania mpira na mchezaji wa Tanzania Prisons, Mohamed 





Rashid, wakati wa mchezo wa Fainali wa Hisani kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI uliochezwa mwishoni mwa wiki kwenye 





Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo Tanzania Prisons ilishinda mabao 3-1, yaliyofungwa na Salum Bosco katika 





dakika ya 36, Benjamini dakika ya 38 na Mohamed Rashid dakika ya 60. Bao la kufutia machozi la Yanga lilifungwa na Samwel 





Geryson katika dakika ya 90. 
 Mshambuliaji wa Yanga U20, Samwel Geryson (kushoto) akichuana kuwania mpira na beki wa Tanzania Prisons, James Mwasote, wakati wa mchezo wa Fainali wa Hisani kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI uliochezwa mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo Tanzania Prisons ilishinda mabao 3-1, yaliyofungwa na Salum Bosco katika dakika ya 36, Benjamini dakika ya 38 na Mohamed Rashid dakika ya 60. Bao la kufutia machozi la Yanga lilifungwa na Samwel Geryson katika dakika ya 90.  
 Mshambuliaji wa Yanga U20, Festo Geryson (kushoto) akiwania mpira na beki wa Tanzania Prisons, James Mwasote, wakati wa mchezo wa Fainali wa Hisani kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI uliochezwa mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo Tanzania Prisons ilishinda mabao 3-1, yaliyofungwa na Salum Bosco katika dakika ya 36, Benjamini dakika ya 38 na Mohamed Rashid dakika ya 60. Bao la kufutia machozi la Yanga lilifungwa na Samwel Geryson katika dakika ya 90. 
 Beki wa Yanga U20, Mawazo Gawasa (kushoto) akiruka kuwania mpira na mshambuliaji wa Tanzania Prisons, Mohamed Rashid, wakati wa mchezo wa Fainali wa Hisani kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI uliochezwa mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo Tanzania Prisons ilishinda mabao 3-1, yaliyofungwa na Salum Bosco katika dakika ya 36, Benjamini dakika ya 38 na Mohamed Rashid dakika ya 60. Bao la kufutia machozi la Yanga lilifungwa na Samwel Geryson katika dakika ya 90.
 Mshambuliaji wa Yanga U20, Paul Godfrey (kushoto) akiruka kupiga mpira wa kichwa huku akizongwa na beki wa Tanzania Prisons, James Mwasote, wakati wa mchezo wa Fainali wa Hisani kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI uliochezwa mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Kulia ni Samwel Garyson akisubiri kutoa msaada. Katika mchezo huo Tanzania Prisons ilishinda mabao 3-1, yaliyofungwa na Salum Bosco katika dakika ya 36, Benjamini dakika ya 38 na Mohamed Rashid dakika ya 60. Bao la kufutia machozi la Yanga lilifungwa na Samwel Geryson katika dakika ya 90.
 Beki wa Yanga U20, Mohamed Nassor (kulia) akipiga krosi huku Salum Bosco wa Tanzania Prisons, akijaribu kuzuia wakati wa mchezo wa Fainali wa Hisani kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI uliochezwa mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo Tanzania Prisons ilishinda mabao 3-1, yaliyofungwa na Salum Bosco katika dakika ya 36, Benjamini dakika ya 38 na Mohamed Rashid dakika ya 60. Bao la kufutia machozi la Yanga lilifungwa na Samwel Geryson katika dakika ya 90. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA


 Mshambuliaji wa Yanga U20, Yusuph Mhilu (kulia) akimtoka beki wa Tanzania Prisons, Sharif Shaban, wakati wa mchezo wa Fainali wa Hisani kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI uliochezwa mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo Tanzania Prisons ilishinda mabao 3-1, yaliyofungwa na Salum Bosco katika dakika ya 36, Benjamini dakika ya 38 na Mohamed Rashid dakika ya 60. Bao la kufutia machozi la Yanga lilifungwa na Samwel Geryson katika dakika ya 90.
 Nahodha wa timu ya Yanga U20, Ayoub Mohamed (katikati) akiwatoka mabeki wa Tanzania Prisons, James Mwasote (kushoto) na Salum Kumenya, wakati wa mchezo wa Fainali wa Hisani kuchangia Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI uliochezwa mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Katika mchezo huo Tanzania Prisons ilishinda mabao 3-1, yaliyofungwa na Salum Bosco katika dakika ya 36, Benjamini dakika ya 38 na Mohamed Rashid dakika ya 60. Bao la kufutia machozi la Yanga lilifungwa na  Samwel Geryson katika dakika ya 90. 


 Gor gor gor goooooor gooooooor
Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania TACAIDS, Dk. Leonard 




Maboko, akihojiwa na waandishi wa habari baada ya kumalizika kwa mchezo huo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI Tanzania, Godfrey Simbeye, akihojiwa na mwandishi wa habari baada ya kumalizika mashindano hayo.
 Nahodha wa Tanzania Prisons, akinua kombe hilo juu kwa furaha baada ya kukabidhiwa.
 Picha ya pamoja timu ya Tanzania Prisons baada ya kukabidhiwa kombe hilo.
 Wakivishwa medali




COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TANZANIA PRISONS YAIGOMEA YANGA U20 NA KUTWAA KOMBE LA MECHI ZA HISANI 2017 UWANJA WA NYUMBANI
TANZANIA PRISONS YAIGOMEA YANGA U20 NA KUTWAA KOMBE LA MECHI ZA HISANI 2017 UWANJA WA NYUMBANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhs3oNCjjjom4qO_cCEWsanJl2G9u-sMSRfhA2ou5B5TXtj5Yu96wnsM-d2X1eLMgr8mDlgxxlWCJpkfw-6jpcE3gqEJ600F_etiiXRLD7ifLrD2vTk3p1oFVjDqh5NofwQ0sRFaAgdkIc/s640/01..jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhs3oNCjjjom4qO_cCEWsanJl2G9u-sMSRfhA2ou5B5TXtj5Yu96wnsM-d2X1eLMgr8mDlgxxlWCJpkfw-6jpcE3gqEJ600F_etiiXRLD7ifLrD2vTk3p1oFVjDqh5NofwQ0sRFaAgdkIc/s72-c/01..jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/07/tanzania-prisons-yaigomea-yanga-u20-na.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/07/tanzania-prisons-yaigomea-yanga-u20-na.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy