MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA MKOA WA MJINI MAGHARIBI ZENJI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya namba umeme wa majumbani na viwandani unavyofanya kazi kutoka kwa mkufunzi wa umeme wa Chuo cha Mwenge Community College Mwalimu Mohamed Mbarawa wakati wa ziara ya Makamu wa Rais chuoni hapo wilaya ya mjini mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Zanzibar. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
HomeJamii

MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA MKOA WA MJINI MAGHARIBI ZENJI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya namba umeme wa majumbani na viwandani unav...

WAZIRI MKUU MAJALIWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANYAMA PORI DUNIANI, MACHI 3,2018
KAMANDA MUSLIMU AZUNGUMZIA BODABODA KUPIGWA BARABARANI
TAMASHA LA PASAKA 2018 KUMNG'ARISHA ROSE MUHANDO



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanafunzi wa kozi ya uuguzi wanaosoma kwenye chuo cha Mwenge Community College kilichopo wilaya ya mjini mkoa wa Mjini Magharibi. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanafunzi wa kozi ya uuguzi wanaosoma kwenye chuo cha Mwenge Community College kilichopo wilaya ya mjini mkoa wa Mjini Magharibi.



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa kozi ya uuguzi wanaosoma kwenye chuo cha Mwenge Community College kilichopo wilaya ya mjini mkoa wa Mjini Magharibi. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,  pia Mbunge wa jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni wakifunua kitambaa kuashiria uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa miundo mbinu katika mradi wa maji utakaonufaisha wakazi wa elfu saba mia tano (7500) katika Shehia 4 eneo la Kikawajuni kwa Mselem jimboni humo. 

Sehemu ya ujenzi wa miundo mbinu katika mradi wa maji utakaonufaisha wakazi wa elfu saba mia tano (7500) katika Shehia 4 mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa tanki la maji safi Kikawajuni 

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya ujenzi wa miundo mbinu katika mradi wa maji utakao nufaisha wakazi wa elfu saba mia tano (7500) katika Shehia 4 mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa tanki la maji safi Kikawajuni kwa Mselem katika jimbo la Kikwajuni, wengine pichani ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhandisi Hamad Masauni na Mkuu wa mkoa wa mjini Magharibi Ndugu Ayoub Mohammed Mahmoud . (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA MKOA WA MJINI MAGHARIBI ZENJI
MAKAMU WA RAIS AENDELEA NA ZIARA MKOA WA MJINI MAGHARIBI ZENJI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgMY8d_5dht_AjmOZF_ECPS14oRaLHSUxJbjVa9IIjLqIsWY0zOxWzPY5-2Que4kPIKJyMSo-Visi1PhPhtOaih4zaEb-9abZOfTY1UY53IR8SEdD29LnrD8Tq0f5k7_gdgWQ6shwmqiHo/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgMY8d_5dht_AjmOZF_ECPS14oRaLHSUxJbjVa9IIjLqIsWY0zOxWzPY5-2Que4kPIKJyMSo-Visi1PhPhtOaih4zaEb-9abZOfTY1UY53IR8SEdD29LnrD8Tq0f5k7_gdgWQ6shwmqiHo/s72-c/1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/04/makamu-wa-rais-aendelea-na-ziara-mkoa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/04/makamu-wa-rais-aendelea-na-ziara-mkoa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy