KATIBU MKUU NISHATI, AKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwinyimvua (kulia) akiongoza kikao kilichokutanisha wadau wa maendeleo na Wizara ya Nishati katika Ofisi za Wizara ya Nishati jijini Dar es Salaam  Aprili 06, 2018.

HomeJamii

KATIBU MKUU NISHATI, AKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO

Katibu Mkuu  wa Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwinyimvua mwishoni mwa wiki Aprili 06 , 2018 alikutana na wadau wa maendeleo katika ofisi...

WAZIRI MKUU: AHITIMISHA HOJA YA BAJETI YAKE BUNGENI; AAGIZA KUTOLEWA TAARIFA ZA AJIRA KILA ROBO MWAKA
MAKALA; SHERIA ISEMAVYO KUHUSU HAKI NA WAJIBU WA MMILIKI ARDHI, NA GHARAMA ZA KUKIUKA SHERIA ZA UMILIKI
MAKAO MAKUU OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU KUKAMILIKA BAADA YA MIEZI KUMI

Katibu Mkuu  wa Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwinyimvua mwishoni mwa wiki Aprili 06, 2018 alikutana na wadau wa maendeleo katika ofisi za Wizara ya Nishati  zilizopo jijini Dar es Salaam. Lengo la kikao hicho lilikuwa ni kujadili miradi ya umeme nchini. Wadau wa maendeleo  walioshiriki katika kikao hicho walitoka Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB), Benki ya Dunia (WB) Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maendeleo (UNDP). Wengine walioshiriki ni pamoja na wawakilishi kutoka balozi zilizopo nchini za  Marekani, Norway, Sweden na wataalam kutoka Wizara ya Nishati, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Maendeleo la Tanzania (TPDC).


Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwinyimvua akifuatilia  ufafanuzi uliokuwa unatolewa na Kamishna wa Nishati, Mhandisi Innocent Luoga (hayupo pichani) katika kikao hicho

Sehemu ya washiriki wa kikao hicho wakifuatilia maelekezo yaliyokuwa yanatolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwinyimvua (hayupo pichani)


Wataalam wa Idara ya Nishati, wakifuatilia maelekezo yaliyokuwa yanatolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwinyimvua (hayupo pichani)



Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: KATIBU MKUU NISHATI, AKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO
KATIBU MKUU NISHATI, AKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhOsbjTlQ21SD4_o4XxScdsXy_Kde_DOoZs45BTJ0Uh1o2ymmlbGoLFIucnHQnyJLtYEA6pVenrEUjMFVFNgz55xeuOcyD8dc7a8v8rHrwlZ931jaTDozXo488D3C50REwLrFzRHQSUXzw/s640/Picha+Na+1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhOsbjTlQ21SD4_o4XxScdsXy_Kde_DOoZs45BTJ0Uh1o2ymmlbGoLFIucnHQnyJLtYEA6pVenrEUjMFVFNgz55xeuOcyD8dc7a8v8rHrwlZ931jaTDozXo488D3C50REwLrFzRHQSUXzw/s72-c/Picha+Na+1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/04/katibu-mkuu-nishati-akutana-na-wadau-wa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/04/katibu-mkuu-nishati-akutana-na-wadau-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy