Kaimu Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania, Mhe. Martin Tavenyika (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Tanzania wa...
Kaimu Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania, Mhe. Martin Tavenyika (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge wa Bunge la Tanzania wanaowakilisha Bunge la Afrika, walioongozwa na Mwenyekiti wa Wabunge hao, Mhe. Asha Juma (wa pili kulia) walipokutana leo katika Ofisi ya Bunge Mjini Dodoma.
Kaimu Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania, Mhe. Martin Tavenyika (kushoto) akizungumza na Wabunge wa Bunge la Tanzania wanaowakilisha Bunge la Afrika, walioongozwa na Mwenyekiti wa Wabunge hao, Mhe. Asha Juma (katikati) walipokutana leo katika Ofisi ya Bunge Mjini Dodoma. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulie na kulia ni Mbunge wa Momba, Mhe. David Silinde.
Kaimu Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania, Mhe. Martin Tavenyika (kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa Wabunge wa Bunge la Tanzania wanaowakilisha Bunge la Afrika, Mhe. Asha Juma (kulia) walipokutana leo katika Ofisi ya Bunge Mjini Dodoma.
Kaimu Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania, Mhe. Martin Tavenyika akisalimiana na Mwenyekiti wa Wabunge wa Bunge la Tanzania wanaowakilisha Bunge la Afrika, Mhe. Asha Juma (kulia) walipokutana leo katika Ofisi ya Bunge Mjini Dodoma.
COMMENTS