Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Billy J. Mwakatage (wa tatu kutoka kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na wawaki...
Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Billy J. Mwakatage (wa tatu kutoka kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na wawakilishi wa kampuni zilizopewa vyeti vya shukrani “Certificate of appreciation” kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Brian Fernandes (wa tatu kushoto) kutoka Dar es salaam Yacht Club (DYC), Ally Saleh Kitobe (wa pili kushoto) kutoka Tanzania Sea Rescue na Issa Lwamba (wa pili kulia) kutoka Dar es Salaam Independent School (DIS). Makabidhiano yaliyofanyika mapema leo hii katika viwanja vya Dar es Salaam Yacht Club Masaki Jijini Dar es Salaam.
JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI LAKABIDHI VYETI VYA SHUKRANI
Labels:
Jamii 3473Advertisement

MAIN QUOTE
x cbfgmfg hghg
- Steve Jobs
WEEK TRENDING
Loading...
YEAR POPULAR
Mkuu wa Chuo cha Maafisa wa Jeshi kilichopo Monduli mkoani Arusha Meja Jenerali Paul Mssao akitoa taarifa ya maofisa wapya kwa Amiri ...
HUYU NDIYE MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI MWANAMA Mikel Ruffinelli mkazi wa Los Angeles, Marekani, amedhihirisha k...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Rwanda Paul Kagame kabla ya kuanza...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akipokelewa watumishi wa Wizara hiyo mara baada ya kuwasili ofisini ...
Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Hakimiliki Tanzania (Cosota) Doreen Sinare akielezea umuhimu wa wanamuziki kujisajili kwa...
COMMENTS