FAO NA USAID TANZANIA WAIPIGA TAFU SERIKALI KUKINGA KICHAA CHA MBWA

Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega (wa tatu kushoto) akizungumza jambo na  Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Cha...















Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega (wa tatu kushoto) akizungumza jambo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) Fred Kafeero (katikati) na Mwakilishi Shirika la Misaada la Marekani (USAID), Dk. Patrick Swai wkati wa hafla ya kukabidhiwa msaada wa chanjo ya Kichaa cha mbwa kwa  kwa ajili ya kuzuia ugonjwa huo kwa Wilaya ya Moshi iliyopo mkoani Kilimanjaro, ambayo imeripotiwa kuwa na tatizo hilo hivi karibuni. Hafla hiyo imefanyika wizarani hapoleo Aprili 30 2018 jijini Dar es Salaam. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogs)


Kiongozi wa Timu wa FAO, Florunso Fesina akitoa mada kuhusu utafiti uliofanywa na shirika hilo kwa madhara yasababiswayo na mifugo kutopewa chanjo hasa mbwa na paka wakati wa hafla ya shirika hilo kukabidhi msaada wa chanjo ya ugonjwa wa kichaa cha mbwa kwa wizara ya Mifugo na uvuvi jjini Dar es Salaam leo. 

Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Chakula na kilimo Duniani (FAO) Fred Kafeero (wa tatu kulia) na Mwakilishi shirika la Misaada la Marekani (USAID), Dk. Patrick Swai (wa pili kulia) wakionesha moja ya bango litakalotumika wakati wa tiba na na chanjo katika hafla ya kukabidhi msaada wa chanjo ya Kichaa cha mbwa kwa Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega (wa tatu kushoto) kwa ajili ya kuzuia ugonjwa huo kwa Wilaya ya Moshi iliyopo mkoani Kilimanjaro, ambayo imeripotiwa kuwa na tatizo hilo hivi karibuni. Hafla hiyo imefanyika wizarani hapo jana jijini Dar es Salaam. Pamoja nao ni watendaji waandamizi wa wizara

Sehemu ya washiriki wa hafla hiyo wakifuatilia mada. 
Kiongozi wa Timu wa FAO, Florunso Fesina akitoa mada kuhusu utafiti uliofanywa na shirika hilo kwa madhara yasababiswayo na mifugo kutopewa chanjo hasa mbwa na paka wakati wa hafla ya shirika hilo kukabidhi msaada wa chanjo ya ugonjwa wa kichaa cha mbwa kwa wizara ya Mifugo na Uvuvi jjini Dar es Salaam leo.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: FAO NA USAID TANZANIA WAIPIGA TAFU SERIKALI KUKINGA KICHAA CHA MBWA
FAO NA USAID TANZANIA WAIPIGA TAFU SERIKALI KUKINGA KICHAA CHA MBWA
https://i.ytimg.com/vi/LA4kF16uUn0/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/LA4kF16uUn0/default.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/04/fao-na-usaid-tanzania-waipiga-tafu.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/04/fao-na-usaid-tanzania-waipiga-tafu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy