AIRTEL NA VETA WAUNGANA KUTOA MAFUNZO KUPITIA SIMU YA MKONONI

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii KATIKA kuadhimisha Siku ya kimataifa ya mtoto wa kike kampuni ya simu ya Airtel Tanzania sambamba na Chu...


Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii


KATIKA kuadhimisha Siku ya kimataifa ya mtoto wa kike kampuni ya simu ya Airtel Tanzania sambamba na Chuo cha Mafunzo ya Ufundi (VETA), wamekuja na mbinu mpya ya kutoa mafunzo kupitia simu ya mkononi.


Akizungumza na Michuzi blog Meneja mradi wa Airtel Jane Matinde ameeleza leo jijini Dar es Salaam kwa kushirikiana na VETA wameamua kutoa mafunzo ya nadharia na vitendo kupitia apllication ya Vsomo inayopatika playstore bure kabisa ambayo baada ya kusoma ukifaulu kwa asilimia 40 atachaguliwa katika VETA iliyokaribu kuweza kuendelea na masomo.


Aidha ameeleza zaidi ya kozi 11 zinapatikana, hivyo vijana wanatakiwa kupakuwa application hiyo ili kujifunza kozi mbalimbali kama vile umeme wa majumbani na malipo ya kozi hizi ni shilingi laki moja na ishirini pekee.Kwa upande wa Meneja mradi wa Vsomo kutoka VETA Charles Mapuli ameeleza hadi sasa waliopakua application hiyo wapo zaidi ya 3500, waliosajiliwa 10,800 na waliosoma na kufanya mitihani wapo 120.


Pia masomo hayo ni ya muda mfupi kwa miaka miwili hadi mitatu na itawasaidia vijana wengi kufikia malengo yao na kufikia azma ya serikali ya kujenga Tanzania ya viwanda.

Meneja mradi wa Airtel Jane Matinde akizungumza jijini Dar es salaam kuhusiana na fursa ya Vsomo ambaye inatoa fursa ya kusoma masomo ya ufundi kupitia simu ya mkononi.


Katibu mkuu Wizara ya Elimu Dkt. Ave Maria Semakafu akisikiliza maelezk kutoka kwa Meneja mradi wa Airtel Jane Matinde kuhusiana na kusoma kupitia simu ya mkononi maarufu kama VSOMO.
Baadhi ya wanafunzi wakimsikiliza meneja wa Vsomo,Charles Mapuli kutoka VETA katika maonesho ya siku ya kitaifa ya mtoto wa kike na Tehama leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Emmanuele Massaka,Globu ya jamii.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: AIRTEL NA VETA WAUNGANA KUTOA MAFUNZO KUPITIA SIMU YA MKONONI
AIRTEL NA VETA WAUNGANA KUTOA MAFUNZO KUPITIA SIMU YA MKONONI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhL0CnXA81hz-CmA7bSi9O-SLlYyGksZts2aA7CHwLzdPA9zg1Xm53_whlkGCSWnGQhv_5jdQwRWmvDs7l7jir4FlKG86ue2YbUm8_caz0u01cI_ePTRQ4hrMpSNMzvjLf3WvcIwtwMOul2/s640/index.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhL0CnXA81hz-CmA7bSi9O-SLlYyGksZts2aA7CHwLzdPA9zg1Xm53_whlkGCSWnGQhv_5jdQwRWmvDs7l7jir4FlKG86ue2YbUm8_caz0u01cI_ePTRQ4hrMpSNMzvjLf3WvcIwtwMOul2/s72-c/index.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/04/airtel-na-veta-waungana-kutoa-mafunzo.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/04/airtel-na-veta-waungana-kutoa-mafunzo.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy