Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume Jaji wa Rufaa, Mhe. Semistocles Kaijage wametembelea eneo la...
Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakiongozwa na Mwenyekiti
wa Tume Jaji wa Rufaa, Mhe. Semistocles Kaijage wametembelea eneo la
Mradi wa Ujenzi wa Jengo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) katika
eneo la Njedengwa mkoani Dodoma.
Mara baada ya kuwasili katika eneo la Mradi na kukagua maendeleo ya
ujenzi wa jengo hilo wajumbe hao wameonyesha kutoridhishwa na kasi ya
ujenzi ya Wakala wa Majengo nchini Tanzania (TBA) wanaojenga jengo
hilo na kuwataka waukamilishe mradi huo kwa wakati kama ilivyopangwa.
COMMENTS