TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU USALAMA KWA RAIA WA KIGENI
HomeJamii

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU USALAMA KWA RAIA WA KIGENI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI HAKUNA ...

MAJALIWA AHUTUBIA NA KUKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR-AAN TUKUFU AFRIKA KWENYE UWANJA WA TAIFA DAR
NEWS ALERT KUHUSU MAZISHI YA MHESHIMIWA BILAGO
TANZIA; MHESHIMIWA BILAGO HATUNAYE TENA


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI




TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

HAKUNA TISHIO LA USALAMA NCHINI

Kumekuwa na taarifa kwenye mitandao ya kijamii zinazosambazwa na watu wasioitakia mema nchi, zinazotishia usalama wa raia na mali zao. Taarifa hizo zimewatia hofu baadhi ya raia wa kigeni na wanadiplomasia wanaofanya kazi na kuishi hapa nchini.
Taarifa hizo zimekuwa zikidai kuwa kutakuwa na maandamano yatakayofanyika tarehe 26 Aprili 2018 na zinawaonya raia wa kigeni wasiende Zanzibar katika kipindi cha Sikukuu ya Pasaka na sherehe za Muungano kwa sababu za kiusalama.
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inawahakikishia wanadiplomasia na raia wote wa kigeni wanaofanya kazi na kuishi nchini na wananchi kwa ujumla kuwa, waendelee na shughuli zao ikiwemo kusafari kutoka eneo moja kwenda jingine bila ya hofu yeyote kwa kuwa hakuna dalili zozote za uvunjifu wa amani, usalama na utulivu wa nchi.
Vyombo vya usalama vipo makini vinatekeleza majukumu yake ipasavyo kuhakikisha kuwa matukio yote ya uhalifu yanadhibitiwa kabla ya kuleta madhara kwa umma.  
Hivyo, Wizara inawaomba wanadiplomasia, raia wa kigeni wanaoishi nchini na wananchi kwa ujumla kuzipuuza taarifa hizo. Wananchi waendelee kushirikiana kwa karibu na Serikali yao kupata taarifa sahihi kutoka vyanzo vinavyoaminika badala ya kutegemea propaganda za watu wanaotumia mitandao ya kijamii kwa maslahi binafsi.  

Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali,
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Dar es Salaam, 29 Machi 2018




Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU USALAMA KWA RAIA WA KIGENI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU USALAMA KWA RAIA WA KIGENI
https://lh4.googleusercontent.com/TM2e6jTaSNdwbfQj1tEyKCjMDDOUZNhD4sksJ5RO94ut7OzWZmKP5x6S2WIJUP1_4tYKFx_KTPAOmhCAOX37U1VWtVG5jM70sts_6oZMT1p9ocBveMUAB1V1vZjRRVqwR37GvEAv64lLnOS4oA
https://lh4.googleusercontent.com/TM2e6jTaSNdwbfQj1tEyKCjMDDOUZNhD4sksJ5RO94ut7OzWZmKP5x6S2WIJUP1_4tYKFx_KTPAOmhCAOX37U1VWtVG5jM70sts_6oZMT1p9ocBveMUAB1V1vZjRRVqwR37GvEAv64lLnOS4oA=s72-c
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/03/taarifa-kwa-vyombo-vya-habari-kuhusu.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/03/taarifa-kwa-vyombo-vya-habari-kuhusu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy