RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA KUSINDIKA NA KUZALISHA MAFUTA YA ALIZETI CHA MOUNT MERU MILLERS KILICHOPO MKOANI SINGIDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na viongozi wengine kuashiria ufunguzi wa  ...



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na viongozi wengine kuashiria ufunguzi wa  kiwanda kikubwa cha Kusindika na kuzalisha mafuta ya Alizeti cha Mount Meru Millers kilichopo mkoani Singida. Kiwanda hicho kina uwezo wa kuzalisha tani elfu tisini za mafuta ya alizeti kwa mwaka.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria ufunguzi wa kiwanda hicho kikubwa cha kusindika Alizeti cha Mount meru millers kilichopo mkoani Singida. Wengine katika picha ni Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi, Waziri wa Mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba, mmiliki wa Kiwanda hicho Atul Mittal mwenye nguo nyeupe na  Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Kiwanda cha kusindika Alizeti cha Mount Meru Millers kilichopo mkoani Singida.







Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kwenda kukagua shughuli mbalimbali za kiwanda hicho cha usindikaji wa Alizeti kilichopo mkoani Singida.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kwenda kukagua shughuli mbalimbali za kiwanda hicho cha usindikaji wa Alizeti kilichopo mkoani Singida.







Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa na viongozi wa Kidini kutoka Singida mara baada ya kufungua kiwanda hicho cha usindikaji wa alizeti.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa kiwanda hicho cha usindikaji wa Alizeti.







Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza mmiliki wa Kiwanda cha Mount Meru Millers Atul Mittal mara baada ya kumaliza kutoa hotuba yake ya uzinduzi wa kiwanda hicho cha usindikaji wa Alizeti mkoani Singida.


Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akifurahia jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba wakati wa hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya uzinduzi wa kiwanda hicho kikubwa cha Usindikaji wa Alizeti mkoani Singida. (Picha na Ikulu)

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA KUSINDIKA NA KUZALISHA MAFUTA YA ALIZETI CHA MOUNT MERU MILLERS KILICHOPO MKOANI SINGIDA
RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA KUSINDIKA NA KUZALISHA MAFUTA YA ALIZETI CHA MOUNT MERU MILLERS KILICHOPO MKOANI SINGIDA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjaNabMo3SWFbuz5JnQl5IYXM67WiKF0v-0nM4K0jv5GOeTERNaGWZhUL-2128T6ViGnQYtHv9OsYLoQ_lJr-epRcg4paFQ_YUG4oxhAEpakT4zm5b6P-FkSJ6yH4BjbsCg794_nMD_S8U/s640/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjaNabMo3SWFbuz5JnQl5IYXM67WiKF0v-0nM4K0jv5GOeTERNaGWZhUL-2128T6ViGnQYtHv9OsYLoQ_lJr-epRcg4paFQ_YUG4oxhAEpakT4zm5b6P-FkSJ6yH4BjbsCg794_nMD_S8U/s72-c/1.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/03/rais-mhe-dkt-magufuli-afungua-kiwanda.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/03/rais-mhe-dkt-magufuli-afungua-kiwanda.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy