Gavana wa Rotary District 9211, Ken Mugisha alizinduwa Mradi wa 'Rotary Mission Green' wa miaka 5 tokea 2017-2021 wenye lengo l...
Gavana wa Rotary District 9211, Ken Mugisha alizinduwa Mradi wa 'Rotary Mission Green' wa miaka 5 tokea 2017-2021 wenye lengo la kutunza mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi na kuboresha viwango vya mapato kwa jamii. Kuhamasisha na kuongeza ufahamu na umuhimu wa upandaji miti kubadili maisha ya watu na kuongeza ukuaji na maendeleo.
Ndege Beach Development Association kwa kushirikiana na Rotary Club ya Dar es Salaam Mikocheni wamepanda miti 4000 eneo la Mbweni kwenye kampeni ya Mkakati wa Kijani' Mission Green' wenye lengo la kupanda miti milioni 5.
Binti Hairati Hidary akishiriki kampeni ya upandaji miti, kufuata nyayo za mama yake Heriat Magalla, Rotariani wakati wa zoezi la upandaji miti lililofanyika Ndege Beach Dar es Salaam Machi 24 2018. |
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Malindi Estate/ Ndege Beach (katikati) pamoja na wakazi wengine wa Ndege Beach wakimsikiliza Mwezeshaji wa Mawasiliano wa Rotary Club ya Dar es Salaam Mikocheni Rotarian Leina Lemomo alipotoa muhtasari wa kazi za Rotary Clubs duniani.
Gavana Msaidizi wa District, Alfred Woiso akizungumza machache kuhusu uwanachama wa Rotari Clubs duniani wakati wa kampeni hiyo. |
Wakazi wa Ndege Beach wakijumuika pamoja baada ya kushiriki kampeni ya upandaji miti ya Mkakati wa Kijani. |
Mhandisi Florence Msambila Mjumbe wa Ndege Beach Development Association akishukuru washiriki wa kampeni hiyo. |
Picha ya Pamoja kuhitimisha zoezi la upandaji miti. |
Binti Hairati Hidary akishiriki kampeni ya upandaji miti, kufuata nyayo za mama yake Heriat Magalla, Rotariani wakati wa zoezi la upandaji miti lililofanyika Ndege Beach Dar es Salaam Machi 24 2018.
NDEGE BEACH DEVELOPMENT ASSOCIATION NA ROTARY CLUB DAR ES SALAAM YA MIKOCHENI WAUNGANA KWENYE KAMPENI YA 'MISSION GREEN'
Gavana wa Rotary District 9211, Ken Mugisha alizinduwa Mradi wa 'Rotary Mission Green' wa miaka 5 tokea 2017-2021 wenye lengo l...
Labels:
Jamii 3473
Advertisement

MAIN QUOTE
x cbfgmfg hghg
- Steve Jobs
WEEK TRENDING
Loading...
YEAR POPULAR
HUYU NDIYE MWANAMKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA KULIKO WOTE DUNIANI MWANAMA Mikel Ruffinelli mkazi wa Los Angeles, Marekani, amedhihirisha k...
Mkuu wa Chuo cha Maafisa wa Jeshi kilichopo Monduli mkoani Arusha Meja Jenerali Paul Mssao akitoa taarifa ya maofisa wapya kwa Amiri ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Rwanda Paul Kagame kabla ya kuanza...
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwasili kufunga mafunzo ya ...
Msomaji wa Quran tukufu katika mashindano ya kitaifa, Abdallah Abdulkadri akisoma wakati wa fainali zake mashindano Dar es Sal...
COMMENTS