Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mh. Edward Lowassa Agosti 23, 2017 amefika hospitali ya taifa ya Muhimbili kumjulia ...
Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mh. Edward Lowassa Agosti 23, 2017 amefika hospitali ya taifa ya Muhimbili kumjulia hali Mbunge wa Bunda mjini, Mh. Ester Amos Bulaya ambae anapatiwa matibabu hospitalini hapo baada ya kuugua ghafla akiwa mahabusu ya polisi mkoani Mara.

COMMENTS