WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Januari Makamba akizungumza na kutowa nasaha zake kwa washiriki ...
 |
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Januari Makamba akizungumza na kutowa nasaha zake kwa washiriki wa Kongamano la 4 la Diaspora linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Sea Cliff Zanzibar na kuwashirikisha Watanzania wanaoishi nje. |
WATANZANIA wanaoishi Ughaibu Diaspora wakiwa katika Meli ya Mapinduzi II wakiendelea na Kongamano hilo la 4 wakibadilishana mawazo wakati wa safari ya kutembelea maeneo ya utalii katika ukanda wa bahari ya Zanzibar. (Picha na Othman Maulid)
 |
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Issa Haji Gavu akizungumza wakati wa Kongamano hilo la 4 la Diaspora linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Sea Cliff Zanzibar kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Janurai Makamba kulifungua. |
 |
BAADHI ya Washiriki wa Kongamano la 4 la Watanzania WANAOISHI Ughaibuni wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe Januari Makamba akifungua kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Sea Cliff Zanzibar |
 |
BAADHI ya Washiriki wa Kongamano hilo Watanzania wanaoishi ughaibuni Diaspora wakifuatilia Kongamano hilo katika ukumbi wa hoteli ya Sea Cliff Zanzibar. |
 |
BAADHI ya Washiriki wa Kongamano hilo Watanzania wanaoishi ughaibuni Diaspora wakifuatilia Kongamano hilo katika ukumbi wa hoteli ya Sea Cliff Zanzibar. |
 |
MKURUGENZI Huduma PBZ Islamic Said Mohammed Said akitowa mada kuhusiana na huduma za Kibenki zinazotolewa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) kwa Diaspora wakati wa Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Sea Cliff Zanzibar. |
 |
(Picha na Othman Maulid) |
COMMENTS