MADAKTARI WA AFYA YA KINYWA NA MENO TANZANIA (TDA) WAPIGA KAMBI SHINYANGA

 Mganga Mkuu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dr, Rashid Mfaume (wa tatu kushoto) akifungua zoezi la uchunguzi wa Afya ya Kinyw...



 Mganga Mkuu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dr, Rashid Mfaume (wa tatu kushoto) akifungua zoezi la uchunguzi wa Afya ya Kinywa na Meno kwa watoto waliopo  katika kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu Buhangija, Mkoani  Shinyanga katika kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani, Ambapo Kitaifa yatafanyika Machi 20, 2018,Tarime  Mkoani Mara . Kuanzia kushoto ni Kiongozi  wa msafara huo ambaye pia ni Daktari wa Afya ya Kinywa na Meno wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dr. Arnold Mtenga, Mwalimu msaidizi wa kituo hicho, Mohamed Makana na kushoto kwa mgeni rasmi ni Daktari wa Meno Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dr. Nuru Mpuya. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)    
 Mlezi Jackson Leonard (kushoto) na Mlezi Flora Kankutebe wakifatilia jambo wakati watoto hao walipokuwa wakifanyiwa uchunguzi huku watoto wendine wakiwa katika msitari wakisubiri kufanyiwa uchunguzi

 Dakt. Bingwa wa Magonjwa ya Kinywa na Meno kwa Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dr, Conrad Mselle akimpati uji mmoja wa watoto hao huku wengine wa kiwa katika msitari wakisubiri na wao kupatiwa uji
 Mwalimu msaidizi wa kituo hicho, Mohamed Makana akiwakaribisha wageni na kutoa utangulizi wa kituo hicho


 Mganga Mkuu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dr, Rashid Mfaume (wa pili kulia) mstari wa mbele katika picha ya pamoja na madaktri hao
 Dakt. Bingwa wa Magonjwa ya Kinywa na Meno kwa Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dr, Conrad Mselle  akionyesha kwa mfano namna nzuri ya upigaji mswaki kwa Zephania Bahebe mmoja kati ya watoto wanaoishi katika kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu Buhangija, Mkoani Shinyanga katika kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Afya ya Kinywa na Meno Duniani, Ambapo Kitaifa yatafanyika Machi 20, 2018,Tarime  Mkoani Mara


  Kiongozi  wa msafara ambaye pia ni Daktari wa Afya ya Kinywa na Meno wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dr. Arnold Mtenga akimfanyi uchunguzi wa kinywa mmoj wa watoto hao waishio kituoni hapo, Peter Tito , kulia anaye andika ni Daktari wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dr. Habiba Madjapa
 Kiongozi  wa msafara ambaye pia ni Daktari wa Afya ya Kinywa na Meno wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dr. Arnold Mtenga akizungumza n waandishi wa habari




Daktari wa Meno Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dr. Nuru Mpuya akizungumza na waandishi wa habari

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MADAKTARI WA AFYA YA KINYWA NA MENO TANZANIA (TDA) WAPIGA KAMBI SHINYANGA
MADAKTARI WA AFYA YA KINYWA NA MENO TANZANIA (TDA) WAPIGA KAMBI SHINYANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjcGf09GKP_KSnR7_v28c_8jciuJv_zEhmjEULEaQYuk4_sgxg6pZbiZZZiI1JvM4yyD1SukoipsCLRKyAZyHUoCMgE_J9thXYGIIcXcy_bVmTBCNCRcykB2bz8Sro42v7_MO36Q98_WR7O/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjcGf09GKP_KSnR7_v28c_8jciuJv_zEhmjEULEaQYuk4_sgxg6pZbiZZZiI1JvM4yyD1SukoipsCLRKyAZyHUoCMgE_J9thXYGIIcXcy_bVmTBCNCRcykB2bz8Sro42v7_MO36Q98_WR7O/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/03/madaktari-wa-afya-ya-kinywa-na-meno.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/03/madaktari-wa-afya-ya-kinywa-na-meno.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy