MAASKOFU, WACHUNGUJI KANDA YA ZIWA WABARIKI TAMASHA LA PASAKA 2018
HomeJamii

MAASKOFU, WACHUNGUJI KANDA YA ZIWA WABARIKI TAMASHA LA PASAKA 2018

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akifafanua jambo mbele ya Maaskofu na Wachungaji wa mkoa wa jiji la Mwanza mapem...

MKUTANO WA WAZIRI MAHIGA NA MWENYEJI WAKE WAZIRI KYUNG-HWA KWENYE JAMHURI YA KOREA
HAFLA YA UZINDUZI WA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI KOREA YA KUSINI
WATEJA WA NSSF DAR WATIMULIWA KWA MTUTU WA BUNDUKI



Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akifafanua jambo mbele ya Maaskofu na Wachungaji wa mkoa wa jiji la Mwanza mapema leo jijini humo kuhusu upokeo na maandalizi ya tamasha la Pasaka linalotarajiwa kufanyika hapo kesho Aprili Mosi,ndani ya  uwanja wa CCM Kirumba mkoani humo.
MKurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akizungumza na Maaskofu na Wachungaji wa mkoa wa jiji la Mwanza mapema leo kwenye moja ya hoteli jijini humo,akieleza kukamilika  rasmi kwa maandalizi ya tamasha la pasaka,linalotarajiwa kufanyika hapo kesho Aprili Mosi katika uwanja wa CCM Kirumba mkoani humo.

Msama amewashukuru Maaskofu hao na Wachungaji kwa kujitoa na kuunga mkono Tamasha la Pasaka 2018,ambalo kwa mara ya kwanza linaanzia kufanyika jijini Mwanza na baadae kuhamia mkoa wa Simiyu ndani ya mji wa Bariadi April 2 ndani ya uwanja wa Halmashauri,aidha tamasha hilo litakuwa na waimbaji lukuki ambao tayari wameishatangazwa kushiriki,kuhakikisha tamasha hilo linafana.
 
Kwa upande wa Maaskofu wameipongeza Kampuni ya Msama Promotions,chini ya Mkurugenzi wake Alex Msama kwa kuupa mkoa wa Mwanza kipaumbele kwa kuleta tamasha hilo mkoani humo,Wameongeza kuwa tamasha hilo litawavuta waumini wengi na wapenzi wa muziki wa injili na kuwaleta pamoja ili kupata neno la mungu na uponyaji kwa njia ya uinjilisti wa nyimbo za injili .
katika picha kutoka kushoto ni Askofu Charles Sekelwa Mwenyekiti wa Umoja wa Makanisa Mwanza na Askofu Zenobius Isaya kutoka kanisa la Philadephia Gospel Asembly na mlezi wa Msama Promotion Kanda ya Ziwa.

Askofu
Zenobius Isaya kutoka kanisa la Philadephia Gospel Asembly na mlezi wa
kampuni ya Msama Promotion Kanda ya Ziwa,akitoa ufafanuzi wa namna
tamasha hilo la Pasaka 2018 lilipofikia na maandalizi yake kwa
ujumla,mbele ya kikao cha Maaskofu na Wachungaji kilichofanyika mapema
leo jijini humo,kulia ni Mkurugenzi wa Msama Promotion Bw. Alex Msama na
kushoto ni Askofu Charles Sekelwa Mwenyekiti wa Umoja wa Makanisa
Mwanza.

Mmoja wa maaskofu akitoa mchango wake katika kikao hicho kilichofanyika jijini Mwanza leo.
Askofu Joyce Mangu wa kanisa la Calvary Assemblies Of God Mjini Kati jijini Mwanza akizungumza wakati akitoa mchango wake katika kuboresha tamasha hilo siku za usoni na kwamba amefurahishwa sana na ujio wa tamasha hilo kwa jiji la Mwanza.




Baadhi ya maaskofu na wachungaji wakifuatilia kikao hicho. 
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MAASKOFU, WACHUNGUJI KANDA YA ZIWA WABARIKI TAMASHA LA PASAKA 2018
MAASKOFU, WACHUNGUJI KANDA YA ZIWA WABARIKI TAMASHA LA PASAKA 2018
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhJrjKeWTxNFK3kTUWJihczA2cJNOvEiPhhnxd2t5vuddMPF2ePb19tUgmJdKMU04QMvmsM7UQ1GpNBtdCaKV5_anhyphenhyphen-hJ2AOg-QuOgNw7fSgelu4oSEli1T4yW8-kgmDo9p1Hf_pGjJRrX/s640/3.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhJrjKeWTxNFK3kTUWJihczA2cJNOvEiPhhnxd2t5vuddMPF2ePb19tUgmJdKMU04QMvmsM7UQ1GpNBtdCaKV5_anhyphenhyphen-hJ2AOg-QuOgNw7fSgelu4oSEli1T4yW8-kgmDo9p1Hf_pGjJRrX/s72-c/3.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/03/maaskofu-wachunguji-kanda-ya-ziwa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/03/maaskofu-wachunguji-kanda-ya-ziwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy