NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU, ANTHONY MAVUNDE AONGOZA MATEMBEZI YA UHAMASISHAJI WA UMMA KUHUSU UMUHIMU WA AFYA YA KINYWA NA MENO JANA
HomeJamii

NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU, ANTHONY MAVUNDE AONGOZA MATEMBEZI YA UHAMASISHAJI WA UMMA KUHUSU UMUHIMU WA AFYA YA KINYWA NA MENO JANA

  Naibu Waziri, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde akizungumza mara baada ya kuongoza matembezi ya uhamasis...

WAZIRI MBARAWA ALITAKA BARAZA LA TAIFA LA UJENZI KUAANISHA GHARAMA ZA UJENZI WA MIRADI YAO
WASANII WATAKAOKIWASHA TIGO FIESTA JIJINI MWANZA WATEMBELEA DUKA LA TIGO LEO.
TCRA YAWAPIGA MSASA WAMILIKI WA MITANDAO (ONLINE MEDIA)

  Naibu Waziri, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde akizungumza mara baada ya kuongoza matembezi ya uhamasishaji wa Umma kuhusu umuhimu wa Afya ya Kinywa na Meno leo machi 19, mwaka huu Mjini Dodoma katika eneo la Nyerere Square ambapo kilele cha wiki ya afya ya kinywa na meno Tanznaia na maadhimisho ya siku ya afya ya kinywa na meno duniani yanatarajiwa kufanyika machi leo  20. eneo hilo na mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa  Waziri, ofisi ya Rais, TAMISEMI, Mhe George Simbachawene.
 
 Meneja wa Benk Tawi la NMB Dodoma, Rehema Nassib (wa pili kushoto) akimsikiliza kwa makini mgeni rasmi alipokuwa akizungumza katika eneo la Nyerere square mara baada ya matembezi ya uhamasishaji wa Umma kuhusu umuhimu wa Afya ya Kinywa na Meno leo, kuanzia kulia ni Daktari wa Kinywa na Meno Hospitali ya Huruma CDH ya Mkoani Kilimanjaro Sr, Benjamine Buya, Mwalimu, Ingnatia Masinde na kushoto ni Mtendaji Mkuu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Al-Misbahul Muniyr International Society Foundition (AMISF), Mussa Kazimiry
 Naibu Waziri, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde (wa tatu kulia) aongoza matembezi ya uhamasishaji wa Umma kuhusu umuhimu wa Afya ya Kinywa na Meno leo mjini Dodoma katika eneo la Nyerere square ambapo kilele cha wiki ya afya ya kinywa na meno Tanznaia na maadhimisho ya siku ya afya ya kinywa na meno duniani yatafanyika leo  katika eneo hilo,mgeni rasmi anatarajiwa kuwa  Mhe, George Simbachawene, Waziri, ofisi ya rais, TAMISEMI 


Wakiwa katika Maandamano katika baadhi ya Barabara za Dodoma

Bendi ya Askari ya JKT Makutupora Dodoma ikiongozwa na Afisa Mteule Daraja la Pili  (WO2) , Dafroza Pesambili  ikipita mbele ya mgeni rasmi baada ya kumaliza matembezi hayo
Mgeni rasmi,  Anthony Mavunde (wa tatu kushoto) akipokea maadamano hayo
Mkuu wa Wilaya, dodoma, Christina Mndeme akisalimia wananchi na wadau walioshiriki matembezi hayo, kushoto ni naibu mwenyekiti wa bodi ya wa dhamini wa Chama Cha Madaktari wa Kinywa na Meno, Halima Mamuya
Rais wa Chama cha Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania (TDA) na daktari bingwa na mkuu wa kitengo cha restorative dentistry, MUHAS. akitowa utambulisho wa msafara wa Mataktari  wake alioongozana nao
Wanafunzi wa Sekondari ya Dodoma wakicheza kwaito baada ya maadhimisho hayo
Baadhi ya Madaktari na wananchi wakisikiliza kwa umakini.



Daktari wa Kinywa na Meno Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Maadhimisho hayo, Dkt. Samwel Seseja akizungumza jambo baada ya matembezi hayo.
Mgeni rasmi katika picha ya pamoja na Madaktari na viongozi mbalimbali
Wanafunzi wa Sekondari ya Dodoma wakiwa katika picha ya pamoja baada ya matembezi hayo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU, ANTHONY MAVUNDE AONGOZA MATEMBEZI YA UHAMASISHAJI WA UMMA KUHUSU UMUHIMU WA AFYA YA KINYWA NA MENO JANA
NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU, ANTHONY MAVUNDE AONGOZA MATEMBEZI YA UHAMASISHAJI WA UMMA KUHUSU UMUHIMU WA AFYA YA KINYWA NA MENO JANA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi38y7gZgyaRg6CNuRypr5Oh3S1-w0kXQQNK72xrSJwDScKpQ2wf5H8n6uvWZBwX4pcz54Ww7xHn24WCs0X0PCrJK25HeHN7FCefH0Y3bUrT-kSk_cQ08QZ12_fYBZlrlORCXdOG4d47Ec/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi38y7gZgyaRg6CNuRypr5Oh3S1-w0kXQQNK72xrSJwDScKpQ2wf5H8n6uvWZBwX4pcz54Ww7xHn24WCs0X0PCrJK25HeHN7FCefH0Y3bUrT-kSk_cQ08QZ12_fYBZlrlORCXdOG4d47Ec/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/03/naibu-waziri-ofisi-ya-waziri-mkuu.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/03/naibu-waziri-ofisi-ya-waziri-mkuu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy