WAZIRI DK.CHARLES TIZEBA KUFUNGUA KONGAMANO LA WADAU WA KILIMO JIJINI DAR ES SALAAM KESHO

Enles Mbegalo WAZIRI wa Kilimo , Chakula, Mifugo na Uvuvi Dk. Charles Tizeba (pichani), anatarajia kufungua kongamano la si...





Enles Mbegalo

WAZIRI wa Kilimo, Chakula, Mifugo na Uvuvi Dk.
Charles Tizeba (pichani), anatarajia kufungua kongamano la siku  tatu la wadau wa sera za kilimo kesho jijini
Dar es Salaam.

Aidha, kongamano hilo litahudhuriwa na wadau zaidi
ya 200 kutoka nchi mbalimbali.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es
Salaam jana, Mwenyekiti wa  Kampuni ya
Agricultural Non State Actors Forum (ANSAF), Audax Rukonge, alisema serikali imekusudia kuweka kipaumbele kwenye viwanda vya uchakataji wa mazao ya kilimo.

Kongamano hilo litalenga kuongeza uelewa
miongoni mwa watunga sera kuhusu mchango wa kilimo katika kuhamasisha ukuaji wa
viwanda Tanzani.

“Wadau  watajadili kupata tafsiri halisi ya sekta ya
uchakataji mazao ya kilimo katika muktadha wa mageuzi ya viwanda Tanzania,”alisema

Rukonge alisema kongamano hilo limedhaminiwa na
USAID, Benki ya Dunia, ANSAF, JICA na wadau wengine ambao wamesaidia kuleta
watalamu wakiwamo wakulima, watafiti, wafanyabiashara na watunga sera.

Mratibu wa Jukwaa la Sera ya Kilimo na Mchumi
mwandamizi Wizara ya Kilimo, Sophia Mlote alisema kongamano hilo la tatu litajadili maendeleo ya kilimo nchini ikiwamo kujadili namna ya kutetea
sera, sheria, kanuni.

Pia alisema kongamano hilo litajikita katika
kujadili juu ya mpango wa kilimo cha mihogo,mikunde, samaki, mazao, usafirishaji pamoja na vifungashio kwa kuwa wazalishaji wengi hawana
vifungashio.


COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI DK.CHARLES TIZEBA KUFUNGUA KONGAMANO LA WADAU WA KILIMO JIJINI DAR ES SALAAM KESHO
WAZIRI DK.CHARLES TIZEBA KUFUNGUA KONGAMANO LA WADAU WA KILIMO JIJINI DAR ES SALAAM KESHO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj7EX4aj9tbElggcEQ1hT-YK27Tfw-f3YUvaIoNq-iDagVq9VgEtG3xEjt_asggfYtuSaZAQPAkb94jgvgD_Ch4zeGHyFRf-PjYfJwKyYkdC9ZodG0EbOv-34jaBICfmPJHmafLuVUfleC2/s400/POWA.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj7EX4aj9tbElggcEQ1hT-YK27Tfw-f3YUvaIoNq-iDagVq9VgEtG3xEjt_asggfYtuSaZAQPAkb94jgvgD_Ch4zeGHyFRf-PjYfJwKyYkdC9ZodG0EbOv-34jaBICfmPJHmafLuVUfleC2/s72-c/POWA.PNG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2017/02/waziri-dkcharles-tizeba-kufungua.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2017/02/waziri-dkcharles-tizeba-kufungua.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy