WAZIRI MKUU MHE. MAJALIWA AMJULIA HALI MWENYEKITI WA CWT SINGIDA
HomeJamii

WAZIRI MKUU MHE. MAJALIWA AMJULIA HALI MWENYEKITI WA CWT SINGIDA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemtembelea na kumpa pole Mwenyekiti wa Chama Cha Walimu (CWT) mkoa wa Singida Mwalimu Aron Jumbe aliyelazwa k...

TRA YATANGAZA MWISHO WA UHAKIKI WA TIN NAMBA LEO
ANNA ABDALAH AWATAKA VIONGOZI WANAWAKE WAWAFUNDE WASICHANA ILI WAWE VIONGOZI BORA WA BAADAYE
MHANDISI MTIGUMWE AWAONDOA HOFU WATUMISHI KUHAMIA DODOMA




WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemtembelea na kumpa pole Mwenyekiti wa Chama Cha Walimu (CWT) mkoa wa Singida Mwalimu Aron Jumbe aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI).


Akiwa hospitalini hapo leo (Jumamosi, Februari 10, 2018), Waziri Mkuu amefarijika baada ya kumkuta Mwenyekiti huyo na wagonjwa wengine waliolazwa kwenye taasisi hiyo wakihudumiwa vizuri.


Pia Waziri Mkuu amewajulia hali mabinti pacha walioungana Consolata na Maria Mwakikuti ambao nao wamelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI).


Waziri Mkuu ametumia fursa hiyo kuwapa pole wagonjwa hao na kuwaeleza kwamba Serikali inadhamira ya dhati kuhakikisha inaboresha huduma za afya na kwamba madaktari wataendelea kuwahudumia vizuri ili kuhakikishia afya zao zinaimarika na kurejea katika shughuli zao za kila siku


Kwa upande wake, Mwalimu Jumbe alimshukuru Waziri Mkuu kwa kutenga muda wake na kwenda kumjulia hali. Aliwashukuru madaktari na wauguzi wa taasisi ya JKCI kwa huduma nzuri wanazompatia tangu alipofika hospitalini hapo.


Kwa upande wao Maria na Consolata walishukuru kwa msaada wa huduma za matibabu wanazozipata na kwa sasa wanaendelea vizuri. Pia walimshukuru Waziri Mkuu kwa kwenda kuwajulia hali na kumtakia kheri katika shughuli zake




IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU,
JUMAMOSI, FEBRUARI 10, 2018.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI MKUU MHE. MAJALIWA AMJULIA HALI MWENYEKITI WA CWT SINGIDA
WAZIRI MKUU MHE. MAJALIWA AMJULIA HALI MWENYEKITI WA CWT SINGIDA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi-7U9tROeVk_HuHAY-7fy2t_SaJjbMfYmXdfwyjGLv7rdF9nOuvxGk5UEscPRhahoNrMeKag35bC3DDSmi8lJnB7AzcXyvp88_oYmfrnUTr4p7Tp2aguCuxSuBd6AehkvbjLIj4Hfo7N38/s640/unnamed-3.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi-7U9tROeVk_HuHAY-7fy2t_SaJjbMfYmXdfwyjGLv7rdF9nOuvxGk5UEscPRhahoNrMeKag35bC3DDSmi8lJnB7AzcXyvp88_oYmfrnUTr4p7Tp2aguCuxSuBd6AehkvbjLIj4Hfo7N38/s72-c/unnamed-3.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/02/waziri-mkuu-mhe-majaliwa-amjulia-hali.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/waziri-mkuu-mhe-majaliwa-amjulia-hali.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy