WAZIRI MKUU MAJALIWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANYAMA PORI DUNIANI, MACHI 3,2018
HomeJamii

WAZIRI MKUU MAJALIWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANYAMA PORI DUNIANI, MACHI 3,2018

  Mkurugenzi wa Rafiki Wildlife Foundation Mch, Clement Matwiga (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari  (hawapo pichani) katika ku...

ILALA YAAHIDI KUDUMISHA MIRADI YA DAR-URBAN
WAZIRI WA MAJI KAMWELWE ATAHADHARISHA KUWAFUKUZA WAHANDISI
WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA ITALIA NCHINI

 
Mkurugenzi wa Rafiki Wildlife Foundation Mch, Clement Matwiga (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari  (hawapo pichani) katika kuelekea maadhimisho ya 5 ya siku ya wanyamapori duniani, ambayo yatafanyika
Kitaifa Dodoma, March 3, 2018,
tumekua bega kwa bega kushirikiana na Wizara kutuamini na ndio waandaaji kwa kushirikiana na wizara ya maliasili,  Kulia ni Afisa Wanyamapori Mkuu Idara ya wanyamapori, Eligi Kimario.(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).
 Afisa Wanyamapori Mkuu Idara ya wanyamapori, Eligi Kimario (kulia), akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maadhimisho ya 5 ya siku ya wanyamapori duniani, ambayo yatafanyika Kitaifa Dodoma, March 3, 2018, ambapo Mgeni rasmi atakuwa Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa. Kushoto ni   Mkurugenzi wa Rafiki Wildlife Foundation Mch, Clement Matwiga.
Mtendaji Mkuu wa Rafiki Wildlife Foundation, Fancis Lazaro (kulia) akizungumza jambo katika Hafla hiyo, Kushoto ni  Afisa Wanyamapori Mkuu Idara ya wanyamapori, Eligi Kimario.

Afisa Wanyamapori Mkuu Idara ya wanyamapori, Eligi Kimario (kushoto) akizungumza katika hafla hiyo, kuanzia kulia ni mratibu wa  Rafiki Wildlife Foundation,  John Masanja na Mtendaji Mkuu wa Rafiki Wildlife Foundation, Fancis Lazaro.
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: WAZIRI MKUU MAJALIWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANYAMA PORI DUNIANI, MACHI 3,2018
WAZIRI MKUU MAJALIWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANYAMA PORI DUNIANI, MACHI 3,2018
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgtq9wj7ycdzybrbqQLp6C8i-ZgMWjDn76qho0nH2_Ap3i_a3MmvGFM3W5glvKUQ_muky-FGaxHbB3aqwHqRbsDGsAe5M08gW-iXzTx_DpP8ZztBS45fMiztVXMCeRQtMMME9jbcCh_CbJw/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgtq9wj7ycdzybrbqQLp6C8i-ZgMWjDn76qho0nH2_Ap3i_a3MmvGFM3W5glvKUQ_muky-FGaxHbB3aqwHqRbsDGsAe5M08gW-iXzTx_DpP8ZztBS45fMiztVXMCeRQtMMME9jbcCh_CbJw/s72-c/1.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/02/waziri-mkuu-majaliwa-mgeni-rasmi.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/waziri-mkuu-majaliwa-mgeni-rasmi.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy