Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Februari 10/2018 amewajulia hali mabinti pacha walioungana Consolata Mwakikuti na Maria Mwakikuti ambao wamela...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Februari 10/2018 amewajulia hali mabinti pacha walioungana Consolata Mwakikuti na Maria Mwakikuti ambao wamelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI). jijini Dar es Salaam.
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa. Februari 10/2018. amemtembelea na kumpa pole Mwenyekiti wa Chama Cha Walimu (CWT) mkoa wa Singida Mwalimu Aron Jumbe aliyelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI).Jijini Dar es Salaam.(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

COMMENTS