VIDEO; MAKAMU WA RAIS AMSAIDIA MKAZI WA SALASALA KITI CHA MAGURUDUMU
Msaidizi wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Nehemia Mandia (kulia)akizungumza na Bi. Sidonia Ntibashigwa mkazi wa Machimbo ya Zamani Salasala kabla ya kumkabidhi Kiti cha Magurudumu kilichotolewa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
HomeJamii

VIDEO; MAKAMU WA RAIS AMSAIDIA MKAZI WA SALASALA KITI CHA MAGURUDUMU

Sidonia Ntibashigwa ambaye pia anafahamika kama Mama Sophia mkazi wa Machimbo ya Zamani, Sala Sala Mbuyuni amemshukuru Makamu...

TANZIA: KAMISHNA MSTAAFU WA OPERESHENI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AFARIKI DUNIA MAPEMA LEO JIJINI DAR ES SALAAM.
WAZIRI TIZEBA AZUNGUMZIA FAIDA ZA MAHUSIANO NA FAO, JOSÉ GRAZIANO DA SILVA MKURUGNEZI MKUU ALIPOKABIDHI VIFAA VYA KUSAIDIA KUFUATILIA MAGONJWA YA MIFUKO YANAYOWEZA KUABUKIZWA KWA BINADAMU DAR ES SALAAM
RAIS MAGUFULI KUPOKEA TAARIFA YA UCHUNGUZI WA MADINI YA TANZANITE NA ALMASI KESHO IKULU DAR











Sidonia Ntibashigwa ambaye pia anafahamika kama Mama Sophia mkazi wa Machimbo ya Zamani, Sala Sala Mbuyuni amemshukuru Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kumpatia kiti cha magurudumu (wheel chair).

Mama Sophia ambaye alipata ya ajali ya kugongwa na roli tarehe 28 Mei, 2016 Mbuyuni, Salasala jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa kumkabidhi kiti hicho Msaidizi wa Makamu wa Rais Siasa Ndugu Nehemia Mandia alisema “Mheshimiwa Makamu wa Rais aliguswa na suala lako ambalo liliandikwa sana kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusiana na ajali uliyoipata na ulemavu ambao umekupata kutokana na ajali kutokana na kitendo hicho ameona akusaidie kiti cha magurudumu kwa ajili ya wewe kufanya shughuli ndogo ndogo unazoweza kufanya”.
Kwa upande wake Mama Sophia alishukuru sana kwa msaada huo wa Kiti na kumuomba Makamu wa Rais aendelee na moyo huo huo wa kusaidia wananchi wake .
Alisema kwa sasa bado anaendelea na matibabu kwa sababu mguu wake mmoja bado haujawa na nguvu hivyo hawezi kusimama.
Mama huyo mwenye watoto sita na wajukuu wanne alisema pia bado anahitaji msaada ili aweze kupata matibabu zaidi.



Sidonia Ntibashigwa mkazi wa Livingstone, Machimbo ya Zamani akikabidhiwa kiti cha magurudumu alichosaidiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.


Sidonia Ntibashigwa mkazi wa Livingstone, Machimbo ya Zamani akikabidhiwa kiti cha magurudumu alichosaidiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)



Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: VIDEO; MAKAMU WA RAIS AMSAIDIA MKAZI WA SALASALA KITI CHA MAGURUDUMU
VIDEO; MAKAMU WA RAIS AMSAIDIA MKAZI WA SALASALA KITI CHA MAGURUDUMU
https://i.ytimg.com/vi/ojySAZEAMWc/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/ojySAZEAMWc/default.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/02/video-makamu-wa-rais-amsaidia-mkazi-wa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/video-makamu-wa-rais-amsaidia-mkazi-wa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy