SSRA NA NIDA WANAENDELE NA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA KWA WANACHAMA WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII

HIFADHI YA JAMII KWA WOTE     Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) kwa kushirikiana na Mamlaka y...


 
 
Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inaendesha zoezi maalumu la kuhakikisha Wanachama wote wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii wasiokuwa na Vitambulisho wanapata Vitambulisho vya Taifa.
Zoezi hili ambalo limeanzia mkoani Dar es Salaam tarehe 05/02/2018 hadi tarehe 28/02/2018, linafanyika katika vituo vifuatavyo
  • Ilala - Ofisi za PSPF, Jengo la Golden Jubilee, Mtaa wa Ohio
  • Kinondoni - Ofisi za LAPF Jengo la Millenium Tower Kijitonyama
  • Temeke - Ofisi za PPF TAZARA
  • Ubungo - Ofisi za NSSF UBUNGO Plaza
  • Kigamboni - Ofisi za NSSF, Darajan 
Mamlaka inatoa wito kwa Wafanyakazi wote ambao ni Wanachama wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Kushiriki kikamilifu katika zoezi hili.   
                
                                                                   "HIFADHI YA JAMII KWA WOTE"
Social Security Regulatory Authority | New Bagamoyo Road ALFA House Plot No. 25 P.O. Box: 31846 Dar es Salaam, Tanzania. | 2552227616834 | https://www.ssra.go.tz/ 
You can unsubscribe from Social Security Regulatory Authority emails anytime.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: SSRA NA NIDA WANAENDELE NA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA KWA WANACHAMA WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
SSRA NA NIDA WANAENDELE NA ZOEZI LA UANDIKISHAJI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA KWA WANACHAMA WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
https://blogger.googleusercontent.com/img/proxy/AVvXsEjsMN4CfBjpUlAM-1I9xP24c0xLlHLfDpAmvSVoLQ7NnAGdR64k6F4nqYOYE3r_7JoZdLbtTbrRNXnJdqIqzTfcbcYji8_TYBjyxmf29ksHMbw31kks9btNuVyzI2looni6tPuxjcWit65j_-uQ=s0-d-e1-ft
https://blogger.googleusercontent.com/img/proxy/AVvXsEjsMN4CfBjpUlAM-1I9xP24c0xLlHLfDpAmvSVoLQ7NnAGdR64k6F4nqYOYE3r_7JoZdLbtTbrRNXnJdqIqzTfcbcYji8_TYBjyxmf29ksHMbw31kks9btNuVyzI2looni6tPuxjcWit65j_-uQ=s72-c-d-e1-ft
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/02/ssra-na-nida-wanaendele-na-zoezi-la.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/ssra-na-nida-wanaendele-na-zoezi-la.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy