RAIS MAGUFULI AHUDHURIA KUSIMIKWA KWA ASKOFU MKUU WA TANO WA KANISA LA ANGLIKANA DAYOSISI YA DAR ES SALAAM LEO
HomeJamii

RAIS MAGUFULI AHUDHURIA KUSIMIKWA KWA ASKOFU MKUU WA TANO WA KANISA LA ANGLIKANA DAYOSISI YA DAR ES SALAAM LEO

  Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Mteule Mch. Can. Jackson Sosthenes Jackson akiweka sahihi hat...

TAARIFA YA SERIKALI TOKA BUNGENI LEO 06/02/2017
MAKAMU WA RAIS AHUDHURIA MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA WA KUWAWEZESHA WANAWAKE KIUCHUMI MJINI DUBAI
MARTIN KADINDA NA KUNDI LAKE WASHINDA MAHAKAMANI, AKANA YEYE SIO MENEJA WA WEMA KWA SASA

 RAIS MAGUFULI AHUDHURIA KUSIMIKWA KWA ASKOFU MKUU WA TANO WA KANISA LA ANGLIKANA DAYOSISI YA DAR ES SALAAM LEO



  Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Mteule Mch. Can. Jackson Sosthenes Jackson akiweka sahihi hati ya kiapo baada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa  kuwa Askofu wa Dayosisi hiyo leo katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam leo February 4, 2018
 Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Mteule Mch. Can. Jackson Sosthenes Jackson akiweka wakfu na kusimikwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana nchini Dkt Jacob Chimeledya  kuwa Askofu wa Dayosisi hiyo katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam leo February 4, 2018
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza  Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam  Jackson Sosthenes Jackson baada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa  kuwa Askofu wa Dayosisi hiyo katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam leo February 4, 2018.
 Rais Mstaafu Mhe. Benjamin Willim Mkapa akimpongeza  Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam  Jackson Sosthenes Jackson baada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa  kuwa Askofu wa Dayosisi hiyo katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam leo February 4, 2018 
 Jaji Mkuu wa Tanzania Mstaafu Mhe Augustino Ramadhani akipiga kinanda kwenye sherehe za  kuwekwa wakfu na kusimikwa  kwa Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam  Jackson Sosthenes Jackson  katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam leo February 4, 2018 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli   na mkewe Mama janeth Magufuli wakikomunika kwenye sherehe za  kuwekwa wakfu na kusimikwa  kwa Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam  Jackson Sosthenes Jackson  katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es Salaam leo February 4, 2018 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli   na mkewe Mama janeth Magufuli pamoja na Rais Mstaafu Mhe. Benjamin William Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa wakishiriki katika Ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa  kwa Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam  Jackson Sosthenes Jackson  katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam leo February 4, 2018 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli   akiongea machache baada ya kushiriki  katika Ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa  kwa Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam  Jackson Sosthenes Jackson  katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam leo February 4, 2018 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimpongeza  Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam  Jackson Sosthenes Jackson baada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam leo February 4, 2018 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimsihi Askofu Mkuu wa kanisa la Anglikana Nchini Dkt. Jacob  Chimeledya kuketi kwenya kiti alichoandaliwa yeye wakati wa kupiga  picha za pamoja wakati wa sherehe za  kuwekwa wakfu na kusimikwa  kwa Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam  Jackson Sosthenes Jackson  katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam leo February 4, 2018 
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa kanisa la Anglikana Nchini Dkt. Jacob  Chimeledya na viongozi wengine  wakati wa sherehe za  kuwekwa wakfu na kusimikwa  kwa Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam  Jackson Sosthenes Jackson  katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam leo February 4, 2018 

Picha na IKULU
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS MAGUFULI AHUDHURIA KUSIMIKWA KWA ASKOFU MKUU WA TANO WA KANISA LA ANGLIKANA DAYOSISI YA DAR ES SALAAM LEO
RAIS MAGUFULI AHUDHURIA KUSIMIKWA KWA ASKOFU MKUU WA TANO WA KANISA LA ANGLIKANA DAYOSISI YA DAR ES SALAAM LEO
https://i.ytimg.com/vi/36i0eEwGuGg/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/36i0eEwGuGg/default.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/02/rais-magufuli-ahudhuria-kusimikwa-kwa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/rais-magufuli-ahudhuria-kusimikwa-kwa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy