RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AREJEA NCHINI AKITOKEA UGANDA KWENYE MKUTANO WA 19 WA WAKUU WA NCHI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
Rais Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akitokea Nchini Uganda alipohudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
HomeJamii

RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AREJEA NCHINI AKITOKEA UGANDA KWENYE MKUTANO WA 19 WA WAKUU WA NCHI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Rais Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa...

WAZIRI MKUU ATOA KADI ZA CHF KWA WAZEE 4,000
RAIS WA ZANZIBAR, DKT. ALI MOHAMMED SHEIN ATOA SALAM ZA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA WA 2018
JK AUNGANA NA WANA MSOGA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA WA 2018


Rais Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) MKoa wa Mwanza ndugu Anthony Dialo mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akitokea Nchini Uganda alipohudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.


Rais Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa ndugu  Kheri Jamesn mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akitokea Nchini Uganda alipohudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.


Rais Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akitokea Nchini Uganda alipohudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.


Rais Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akitazama ngoma  mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akitokea Nchini Uganda alipohudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.



Rais Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akizungumza na baadhi ya Viongozi na Wafanyakazi  wa uwanja wa ndege wa Mkoa wa Mwanza mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akitokea Nchini Uganda alipohudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.



Rais Mhe.Dkt John Pombe Magufuli akizungumza na baadhi ya Viongozi na Wafanyakazi  wa uwanja wa ndege wa MKoa wa Mwanza mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akitokea Nchini Uganda alipohudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.


Rais Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Ardhi, nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella na wacheza ngoma waliofika kumlaki uwanjani hapo mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akitokea Nchini Uganda alipohudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
(PICHA NA IKULU)


Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AREJEA NCHINI AKITOKEA UGANDA KWENYE MKUTANO WA 19 WA WAKUU WA NCHI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AREJEA NCHINI AKITOKEA UGANDA KWENYE MKUTANO WA 19 WA WAKUU WA NCHI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgedLvSyUBFU_ymOri4AERoloxdy3v5x5m4vppK4RwZYnVMr2gucc-nU9n5dyjrsA4RdBWlbA8MTKl2c3q2ohAtxA5moOGCqNlGtyr_Gd6u0yrLaC7HLRdcMm4-k-LQMlDVBNPJG2x87PY/s640/2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgedLvSyUBFU_ymOri4AERoloxdy3v5x5m4vppK4RwZYnVMr2gucc-nU9n5dyjrsA4RdBWlbA8MTKl2c3q2ohAtxA5moOGCqNlGtyr_Gd6u0yrLaC7HLRdcMm4-k-LQMlDVBNPJG2x87PY/s72-c/2.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/02/rais-dkt-john-magufuli-arejea-nchini.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/rais-dkt-john-magufuli-arejea-nchini.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy