NEWS ALERT; MBUNGE WA MBEYA MJINI, JOSEPH MBILINYI NA MASONGA WAHUKUMIWA MIEZI 5 JELA KWA UCHOCHEZI

Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga wamehukumiwa kifungo cha miezi mitano jel...







Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga wamehukumiwa kifungo cha miezi mitano jela kila mmoja baada ya kukutwa na hatia kwa kosa la kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli.

Hukumu hiyo imetolewa leo Feb. 26, 2018 na hakimu wa mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya, Maiko Mteite baada ya kuridhika ushahidi uliotolewa upande wa mashtaka.

Pia mahakama hiyo imemuhukumu kifungo cha miezi sita katibu wa chadema kanda ya nyanda za juu kusini Emmanuel Masonga kwa kosa hilo.

Washtakiwa hao wanatajwa kutenda kosa la kutoa maneno ya kumfedhehesha rais Disemba 31, 2017 katika viwanja vya Luanda Nzovwe wakati wakizungumza na wananchi.

COMMENTS

Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: NEWS ALERT; MBUNGE WA MBEYA MJINI, JOSEPH MBILINYI NA MASONGA WAHUKUMIWA MIEZI 5 JELA KWA UCHOCHEZI
NEWS ALERT; MBUNGE WA MBEYA MJINI, JOSEPH MBILINYI NA MASONGA WAHUKUMIWA MIEZI 5 JELA KWA UCHOCHEZI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjBPttw6Im5tfKtRRrFSLe-id3M_M39esZPHNIXIWhj_LYxMf8-9BdDz-NG5ZLwwQpv6lBWGJSLL6F0CxgcvD_WBe5iJ-DTg5E27zzN017_NNe1fQocIyHtcDm8NLPZrqtiEdOAFgt43noZ/s640/index.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjBPttw6Im5tfKtRRrFSLe-id3M_M39esZPHNIXIWhj_LYxMf8-9BdDz-NG5ZLwwQpv6lBWGJSLL6F0CxgcvD_WBe5iJ-DTg5E27zzN017_NNe1fQocIyHtcDm8NLPZrqtiEdOAFgt43noZ/s72-c/index.jpg
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/02/news-alert-mbunge-wa-mbeya-mjini-joseph.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/news-alert-mbunge-wa-mbeya-mjini-joseph.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy