MWENYEKITI WA MTAA WA BUNGONI ATOA MABATI 150 KUCAHNGIA UJENZI WA ZAHANATI ILALA
HomeJamii

MWENYEKITI WA MTAA WA BUNGONI ATOA MABATI 150 KUCAHNGIA UJENZI WA ZAHANATI ILALA

Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam ambaye ni Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Bungoni Ilala, Barua Mwakilanga akikabid...

RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AREJEA NCHINI AKITOKEA UGANDA KWENYE MKUTANO WA 19 WA WAKUU WA NCHI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AONDOKA UGANDA MARA BAADA YA KUHUDHURIA VIKAO VYA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC)
OSHA YASISITIZA KADA YA USALAMA KAZINI KUTAMBULIKA RASMI


Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam ambaye ni Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Bungoni Ilala, Barua Mwakilanga akikabidhi bati 150 kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema, leo jijini Dar es Salaam. Ametoa bati hizo kuitikia mwito ulitoalewa hizi karibuni na Waziri Mkuu majaliwa Kassim Majaliwa kumwagiza Mkuu wa Wilaya ya Ilala kuchangisha fedha kwa wadau ili kupatikana fedha kwa ajili ya ujenzi wa zahanati Ilala.

"Asante sana" Sophia Mjema akimshukuru Barua wakati akipokea bati hizo

Sophia Mjema akizungumza baada ya kupokea bati hizo

"Bati hizi pelekeni kuzihifahdhi kuleee", Sophia Mjema akiwaelekeza vijana baada ya kupokea bati hizo

Mkuu wa Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam, Sophia Mjema akizungumza na Waandishi baada ya kupokea mabati hayo. Katikati ni Ndugu Barua. (PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MWENYEKITI WA MTAA WA BUNGONI ATOA MABATI 150 KUCAHNGIA UJENZI WA ZAHANATI ILALA
MWENYEKITI WA MTAA WA BUNGONI ATOA MABATI 150 KUCAHNGIA UJENZI WA ZAHANATI ILALA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjCcPw8o6LE6xHDZ1JipvJMiBy1om0O5szwL3Y1bTDgThSG1SURcuqtXeOQOzB7fZo6kn3q9sdFpZpv9ST2De8rOq7tWllFfguWyRjGrP397vAvsAEnNjAUY2ZDBIlF3nMx69TAbJp2_m_p/s640/BN646003.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjCcPw8o6LE6xHDZ1JipvJMiBy1om0O5szwL3Y1bTDgThSG1SURcuqtXeOQOzB7fZo6kn3q9sdFpZpv9ST2De8rOq7tWllFfguWyRjGrP397vAvsAEnNjAUY2ZDBIlF3nMx69TAbJp2_m_p/s72-c/BN646003.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/02/mwenyekiti-wa-mtaa-wa-bungoni-atoa.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/mwenyekiti-wa-mtaa-wa-bungoni-atoa.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy