MKUU WA GEREZA LA UKONGA ASTAAFU UTUMISHI WA JESHI AKIHIMIZA KUENDELEZWA VIWANDA VYA MAGEREZA
HomeJamii

MKUU WA GEREZA LA UKONGA ASTAAFU UTUMISHI WA JESHI AKIHIMIZA KUENDELEZWA VIWANDA VYA MAGEREZA

Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila, akipongezwa na mkewe Yunisi Mwaisabila baada ya kustaafu utumishi wa jeshi hilo w...

MAFUNDI WA TANESCO WAWEKA KAMBI MBEZI KWA MALECELA KUREJESHA MIUNDOMBINU ILIYOSOMBWA NA MAFURIKO YA MVUA ZA VULI
WANAODAI FIDIA MGODI WA BUCKREEF KUHAKIKIWA
RAIS WA DKT MAGUFULI AAPISHA MAKATIBU WAKUU, NAIBU MAKATIBU WAKUU NA WAKUU WA MIKOA WAPYA





Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila, akipongezwa na mkewe Yunisi Mwaisabila baada ya kustaafu utumishi wa jeshi hilo wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo Cha Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam.




Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila , akipunga mkono wa kwaheri wakati wa hafla ya kumuaga akistaafu utumishi wa jeshi hilo. Hafla hiyo imefanyika leo katika Viwanja vya Chuo cha Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam.


Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila (kushoto), akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa kwa ajili yake wakati wa hafla ya kumuaga akistaafu utumishi wa jeshi hilo, Hafla hiyo imefanyika leo katika Viwanja vya Chuo cha Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam.



Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila (kulia),akipongezwa na maafisa wa jeshi hilo baada ya kustaafu utumishi wa jeshi hilo katika hafla iliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo cha Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam.




Gwaride la heshima likipita mbele ya Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila, wakati wa hafla ya kumuaga kamishna msaidizi huyo iliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo cha Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam.



Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Steven Mwaisabila (kushoto) akipongezwa na mjukuu wake baada ya kustaafu utumishi wa jeshi hilo wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika leo katika Viwanja vya Chuo Cha Magereza Ukonga, jijini Dar es Salaam. (PICHA NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI)
Name

analogia,2,Biashara,618,dijital,235,Jamii,3473,Magazeti,385,Michezo,334,Mikoani,1262,Moto,334,Sanaa,247,Siasa,369,Slide,10,tv,4,Uchumi,276,
ltr
item
Okandablogs: MKUU WA GEREZA LA UKONGA ASTAAFU UTUMISHI WA JESHI AKIHIMIZA KUENDELEZWA VIWANDA VYA MAGEREZA
MKUU WA GEREZA LA UKONGA ASTAAFU UTUMISHI WA JESHI AKIHIMIZA KUENDELEZWA VIWANDA VYA MAGEREZA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhSuG_WQnS73o7sGlMYW248mWFD0oH-35_cR65Pi_-t-WLx7ksXqzhKV2VItzZ84Kbw0FGLGKOr3_IaUSlAsZ8pJVl1gJqSujjFEKroQmRxT_WJw6nvOA7MQpplhvR4xJ-tKdGjd44AiKPv/s640/PIX+5.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhSuG_WQnS73o7sGlMYW248mWFD0oH-35_cR65Pi_-t-WLx7ksXqzhKV2VItzZ84Kbw0FGLGKOr3_IaUSlAsZ8pJVl1gJqSujjFEKroQmRxT_WJw6nvOA7MQpplhvR4xJ-tKdGjd44AiKPv/s72-c/PIX+5.JPG
Okandablogs
https://robertokanda.blogspot.com/2018/02/mkuu-wa-gereza-la-ukonga-astaafu.html
https://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/
http://robertokanda.blogspot.com/2018/02/mkuu-wa-gereza-la-ukonga-astaafu.html
true
7708052459372695991
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy